ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
Sijakataa kwamba electric yenu ni kali kushinda diesel yetu, hiyo ni kweli kwamba electric siku zote ipo juu ya diesel lakini msiwe na nyege sana ya kuita kaelectric kenu bullet train a.k.a Shikansen. Hamjui maana halisi ya bullet train nyie.
Subiria kitu ya namna hii ππππ unafkiri sisi tunarudia makosa muliofanya nyie ππππππππ