After building a pipeline of over $400mln, KPC now realized a need for anti leaking detection system

Sijakataa kwamba electric yenu ni kali kushinda diesel yetu, hiyo ni kweli kwamba electric siku zote ipo juu ya diesel lakini msiwe na nyege sana ya kuita kaelectric kenu bullet train a.k.a Shikansen. Hamjui maana halisi ya bullet train nyie.

Subiria kitu ya namna hii πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ unafkiri sisi tunarudia makosa muliofanya nyie πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
1EB519A8-85A4-4ECB-BF90-331615C0C1E8.jpeg
 
Subiria kitu ya namna hii πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ unafkiri sisi tunarudia makosa muliofanya nyie πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1096095
Hako kadude kakiland kakiwa na kichwa cha bullet kama hiyo ya picha na pia kakuwe kanachomoka zaidi ya 200 km/h basi nitakupa elfu tano ya Kenya la si hivyo utatoka JF mwezi mzima
 
Usije ukakimbua humu bro narudia kukwambia tena crusing speed ya sgr ni 160 to 200km per hr hio ninauhakika nayo ila full speed hawakutaja bado na kuhusu bullet train kaa mkao wa kula

Mkiwa na train inafanana hivyo nitahama JF
 
Back
Top Bottom