🏖️🏝️After Corona Bash (Beach Party)🏖️🏝️

🏖️🏝️After Corona Bash (Beach Party)🏖️🏝️

Nampongeza sana Rais kwa kuishinda Vita dhidi ya Coronavirus COVID-19, pia nampongeza sana Paul Makonda Mkuu wetu wa mkoa wa kihistoria kutokea tangu tupate Uhuru.

Jumapili ni siku rasmi ya kufungulia mbwa, mabaa, madisco, vigodoro na kila aina ya starehe iliyoadimika kwasababu ya Coronavirus COVID-19, basi jumapili ni siku ya kufanya kufuru.

Jamani ehhh...... Tafuteni wenzi, starehe za watu singo zitasababisha uhaba wa sabuni na matango Mjini.

Karibuni kwenye Beach Party yangu ya nguvu ninayoiandaa Coco Beach.

Njoo na ufagio wako na mpenzi wako aje na wake. Baada ya party tusafishe ufukwe wetu na kuacha ukiwa msafi kabisa.
Karibuni sana
Mkuu kumbe Kiswahili ni kigumu namna hii!? Sijaambulia hapo kitu kabisa!? [emoji4][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeo
Nampongeza sana Rais kwa kuishinda Vita dhidi ya Coronavirus COVID-19, pia nampongeza sana Paul Makonda Mkuu wetu wa mkoa wa kihistoria kutokea tangu tupate Uhuru.

Jumapili ni siku rasmi ya kufungulia mbwa, mabaa, madisco, vigodoro na kila aina ya starehe iliyoadimika kwasababu ya Coronavirus COVID-19, basi jumapili ni siku ya kufanya kufuru.

Jamani ehhh...... Tafuteni wenzi, starehe za watu singo zitasababisha uhaba wa sabuni na matango Mjini.

Karibuni kwenye Beach Party yangu ya nguvu ninayoiandaa Coco Beach.

Njoo na ufagio wako na mpenzi wako aje na wake. Baada ya party tusafishe ufukwe wetu na kuacha ukiwa msafi kabisa.
Karibuni sana
Corona imeisha takwimu ziko wapi? Hii ya makonda italeta maambukizi ya ajabu balaa na watu watakaokufa ni wazazi, manake wamama na wababa kwa vurugu za vijana za siku hio. Sababu watachota huko kishwa kwenda nyumbani kuambukiza wazazi. Makonda asipolea yatima... Mungu anamwona.
 
Nikirudi huku niliko nitawapa ushuhuda flani sababu mtandao umezimwa tangu juzi hapa kibishi natumia VPN kuhusu hiyo Corona, watu wanaishi nayo na inasepa yenyewe, nahisi ni kweli khofu ndio inayowauwa watu; niko ndugu yangu anayo na mimi sina na tupo pamoja 24 hours. Ila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HahahahaTE="Sky Eclat, post: 35430096, member: 106478"]
Corona amewaweza wazungu tu wanaomuelewa, ameingia bongo akisema how are you anajibiwa Howard hayupo hapa.
[/QUOTE]
Hahahah
 
Back
Top Bottom