tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Treni Za China zina quality Dunia nzima..Ila zile mnazotumia mmepigwaYenu haiwezi kuwa high quality namna hii. Hii imetoka France, yenu itatokea China
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Treni Za China zina quality Dunia nzima..Ila zile mnazotumia mmepigwaYenu haiwezi kuwa high quality namna hii. Hii imetoka France, yenu itatokea China
Mwezi wa 11 mwaka huu..Acha kujiliwaza na highway tunazungumzia treni hapa....55km kama Thika super highway 😀😀😀 halafu ya Tanzagiza hata haijulikani kama itakamilika Baada ya vyuma kukaza. Geza Ulole hebu weka Picha za treni ya Tanzania na sio renders tafadhali 😀😀
Ina maana kila kinachotokea China ni low quality except "China type one SGR ya Kenya", hahahaha.Yenu haiwezi kuwa high quality namna hii. Hii imetoka France, yenu itatokea China
View attachment 997835View attachment 997836View attachment 997835View attachment 997836
SI MTAJE TU MBONA MNAZUNGUKA😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛