After obama kenyan woman elected senator in australia

After obama kenyan woman elected senator in australia

Sasa nyie Wakenya inawasaidia vipi hawa watu wenye asili ya Kenya kuchaguliwa?
Ina maana kubwa kwetu aisee yaani kila anapokwenda mkenya anatamba!Inwapa motisha watoto wa kikenya kujua yote yawezekana na leo si kama jana.Kama msichana wetu Lupita alivosema...your dreams are valid!Omera this is how we Kenyans roll!
 
Sasa nyie Wakenya inawasaidia vipi hawa watu wenye asili ya Kenya kuchaguliwa?
Inasaidia kuiweka Kenya nje kwenye dunia na kui-advertise. Kuna wale walikuwa hawajui Kenya iko wapi lakini sasa watafanya utafiti kuijua zaidi. In other words; those Kenyans shining outside our country acts as our ambassadors. thus Kenya is well marketted and thats an advantage to the tourism industry.
 
if the west talk about East Africa, the only country that comes to their mind is Kenya. hii ndio sababu Kenya inafanya vizuri katika sekta ya utalii eneo hili mbali na menginezo
 
if the west talk about East Africa, the only country that comes to their mind is Kenya. hii ndio sababu Kenya inafanya vizuri katika sekta ya utalii eneo hili mbali na menginezo
Vizuri katika utalii? Come again
 
Vizuri katika utalii? Come again
Yeah. Vizuri sana. kwa sasa tunaelekea katika uchaguzi mkuu. you know what happens during and after elections in Kenya. you can have the tourists for now for the next couple of months
 
Back
Top Bottom