Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Your avatar shows how you are even in analysing things!.His father was a kenyan not him, does he have a Kenyan passport?
Ina maana kubwa kwetu aisee yaani kila anapokwenda mkenya anatamba!Inwapa motisha watoto wa kikenya kujua yote yawezekana na leo si kama jana.Kama msichana wetu Lupita alivosema...your dreams are valid!Omera this is how we Kenyans roll!Sasa nyie Wakenya inawasaidia vipi hawa watu wenye asili ya Kenya kuchaguliwa?
Inasaidia kuiweka Kenya nje kwenye dunia na kui-advertise. Kuna wale walikuwa hawajui Kenya iko wapi lakini sasa watafanya utafiti kuijua zaidi. In other words; those Kenyans shining outside our country acts as our ambassadors. thus Kenya is well marketted and thats an advantage to the tourism industry.Sasa nyie Wakenya inawasaidia vipi hawa watu wenye asili ya Kenya kuchaguliwa?
Vizuri katika utalii? Come againif the west talk about East Africa, the only country that comes to their mind is Kenya. hii ndio sababu Kenya inafanya vizuri katika sekta ya utalii eneo hili mbali na menginezo
Yeah. Vizuri sana. kwa sasa tunaelekea katika uchaguzi mkuu. you know what happens during and after elections in Kenya. you can have the tourists for now for the next couple of monthsVizuri katika utalii? Come again