#COVID19 After Portugal Now Sweden Bans Travellers From The Most Vaccinated Nation Israel

Do not be vaccinated,kinachoitwa vaccine sio vaccine,ni mikakati ya genocide.
Vipi israel inaweza kugenocide karibia asilimia themanini ya raia wake? Au hiyo mikakati ipoje naomba maelezo ya kina
 
Vipi israel inaweza kugenocide karibia asilimia themanini ya raia wake? Au hiyo mikakati ipoje naomba maelezo ya kina
Holocaust aliyo anzisha Hitler inaendelea mkuu Israel as we speak.Infact Hitler was paid to do the job by the Rothschilds on behalf of the Khazarian Mafia,na kwa sasa Israel is another concentration camp.Kazi inaendelea.
 
Hawa ndio wanao jifanya kuwa wasimamizi wa afya wakuu duniani mkuu,hata hivyo ndio wamekuwa wauaji wetu wakishirikiana na akina Bill Gates,Anthony Fauci,Rockefeller,Rothschild na the Bildebegers.
Hatariiii
 
Mi naangalia pambano linavyoendelea. Waliochanja wanatoa vitisho ili wengine wachanje hadi mkuu wa mjengoni kaweka masharti eti wasiochanja wataambukiza waliochanja. Mama naye akiuliza tunachanja au hatuchanji majibu ni tunachanjwi/tunachanjanjwi. Mbowe naye baada ya kuchanja akalipuka kwamba kila Mtz achanjwe kwa lazima huku fomu ikisema serikali haitawajibika kwa madhara yatakayotokea kwa mchanjwaji......
 
Sasa kama ndo ivyo kuna umuhimu gani wa kuchanja nilidhai Israel ndo iwe role model ya kupungua kwa hii kitu baada ya kuchanja
 
It's well known that currently used vaccines for COVID-19 would not prevent those who have been vaccinated from re-infection. Unless they are trying to combat increasing risks from exposure by limiting/controlling/banning entries of personnel from highly infected countries.
 
Piga chanjo mkuu, acha kuokoteza vitaarifa feki vya kukufariji uamuzi wako
 
Sources ya taarifa, kama haijakaa vizuri, siyo ya kuaminika
 
Piga chanjo mkuu, acha kuokoteza vitaarifa feki vya kukufariji uamuzi wako
Wewe taarifa kwamba chanjo inafaa umeipata wapi?7Halafu mind you,mimi siokotezi taarifa,ni mtaalamu mbobezi katika fani ya Virology,kwa hiyo mtu hanidanganyi.
 
Holocaust aliyo anzisha Hitler inaendelea mkuu Israel as we speak.Infact Hitler was paid to do the job by the Rothschilds on behalf of the Khazarian Mafia,na kwa sasa Israel is another concentration camp.Kazi inaendelea.
Totally wrong information if not propaganda. How can the Rothschilds who are themselves Jews pay Hitler to do the job of killing their own brothers and sisters? Kawadanganye wenzako wasiojua historia ya ulimwengu huu.
 
Rothschild sio Israel mkuu,he is Khazarian.Wamejiingiza tu kwa siri.Do your homework properly.
Fuata link ifuatayo uone ukweli huu.Even the Bible says wapo Waisrael wanaojiita Waisrael lakini sio Waisrael wa kweli,ila ni wa Sinagogi la Shetani,some of them are the Rothschilds.

Chanjo hazifai!
alisikika akisema Mwendazake aliyeshambuliwa kutoka kila Kona ya dunia

Tujaribu kuwa makini kuelewa tunapofahamishwa jambo hakuna yeyote aliesema chanjo inazuia ambukizo au chanjo inakomesha ugonjwa BALI CHANJO INAPUNGUZA KWA KIWANGO KIKUBWA CHA MADHARA YA KUZIBA PUMZI HATIMAE KIFO UNAPOSHAMBULIWA NA KORONA.

Hilo mwenda zake alikua halijui yeye alijua kama unavyo jua wewe kua chanjo ni tiba na kinga ya Corona
 
Unanipa Mimi elimu ya chanjo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Holocaust aliyo anzisha Hitler inaendelea mkuu Israel as we speak.Infact Hitler was paid to do the job by the Rothschilds on behalf of the Khazarian Mafia,na kwa sasa Israel is another concentration camp.Kazi inaendelea.

[emoji2][emoji3][emoji3] very interesting to hear and laugh can do that for now jews ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…