#COVID19 After Portugal Now Sweden Bans Travellers From The Most Vaccinated Nation Israel

Maneno haya ni ya kitapeli ➡️ CHANJO INAPUNGUZA KWA KIWANGO KIKUBWA CHA MADHARA YA KUZIBA PUMZI HATIMAE KIFO UNAPOSHAMBULIWA NA KORONA⬅️.Usiamimi kila unaloambiwa,Magu was 100% correct!Wewe uko brainwashed by the Covid Cult.Do your own research on the C-19.Kila protocol ya C-19 is a con.
 
[emoji2][emoji3][emoji3] very interesting to hear and laugh can do that for now jews ?
If it happened then,why not now.Sababu iliyokuwepo wakati ule hata sasa ipo mkuu.
 
[emoji2][emoji3][emoji3] very interesting to hear and laugh can do that for now jews ?
Fuata link ifuatayo mkuu pia,itakusaidia kujua kwa undani zaidi who the Rothschilds are,how they control the world,to what extent,and their end game for the World.

 

Mungu was 100% correct and is correct moore than that. Haina shaka naye ana kanuni zake na ukitaka kuvunja kanuni yake ktk usalama kakae relini ukijaa imani Mungu is correct 100% uone jinsi train itakavyo kusawazisha na mbele ya mungu utahesabika umekufa kizembe
 
Kifupi mimi sichanji na Sina mpango nimuaminia mtaalamu wa madawa yaani chemist Mwenye PhD ya Chemistry Mwendazake Dr of Chemistry Dr John Pombe Magufuli
Utamfuata kama alivyoondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…