Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Mbona sijasikia? Amemwita balozi wapi? Na hata ikiwa ametaja jina balozi itakuwa alikuwa anaashiria balozi anayewakilisha Kenya huko Tanzania aliyekuwa nyuma yake. So anaweza kuwa alikuwa anamaanisha balozi ndio huyu nyuma yangu anakuja kukusalimia.