Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Nyie hamuwezi kuukimbia ukweli. Taifa lenu bado changa sana linalelewa na wazungu. Kwahiyo watafanya watakvyo ndio maana wakikohoa tu lazima tumbo joto. Sisi hapa TZ tumekataa EPA nyie mnaramba miguu ya wazungu.Do you have a foreign minister yourselves??If Kenya's is Zero then yours must be below sea level.....Do you have a foreign policy to talk about???
Katika forign affairs kenya ni kichwa maji.