After Will Smith and Beckham,Liverpool Star Mamadou Sakho fly to visit Serengeti.

After Will Smith and Beckham,Liverpool Star Mamadou Sakho fly to visit Serengeti.

at least this is the closest watu wengine wanaeza kuwa close na Liverpool. sisi tuko na Divock Origi anapeperusha bendera kila siku na hatuongei
 
View attachment 520781
Kuelewa kitu mtu ameandika huwa ni muhimu! Umeona nimeandika wapi hawajafika hawa huko Bongo?

Kukuelezea, nimesema hao mlio wataja kwa sasa hawana uzito wowote! Ingekuwa ni hawa unaowaweka sasa, ningesema pongozi! Ila Sakho? nani anamjua? zaidi ya wafwasi wa Liverpool??
Baada ya Xplorer kukupa dose kubwa ngoja na mimi niongezee
Screenshot_2017-06-07-16-29-12.jpg
drip ya christapen
Screen-shot-2013-07-28-at-9.45.52-PM.png
 
The kind of pettiness I see here everyday is amusing. Are there kids in this forum?
Jay456watt, Kadoda11 & Geza Ulole ( yes I see you on skyscrapercity na hujai komaa akili ) are a bunch of juveniles.

Soon you'll start drawing analogies on the amount of sunshine experienced on both sides of the border.
Roho mbaya tu na wivu unawapelekesha Tanzania inavyopokea master world elites ndio unaona utoto na mtaisoma number ngoja ile midreamliners yetu itoke workshops huko Canada na US mtatuchoka.
 
Acha wivu kijana! hao unaowaona wa maana huku Tanzania walishafika siku nyingiiiiii hadi tumesahau...ngoja sasa nikufanye uwashwe vizuri..

View attachment 520677
Huyo Beyonce wako hapa yupo Bongo tena tukamvalisha kimasai kabisa .
View attachment 520679

Ona jinsi Jigga anavyojiachia huku Bongo...
View attachment 520682
Huyu ni billionea wa kimarekani ( Howard Graham Buffett) ona jinsi anavyojiachia
View attachment 520686

Bill na Melinda ndani ya Ngorongoro just imagine!!
View attachment 520687

Huyu jamaa hii ilikuwa ndio mara yake ya kwanza kuja Africa..na moja kwa moja akafikia Ngorongoro.

NOTE:
Tunaposema "The Soul of Africa" tunamaanisha na sio blah blah.
Umemkata ngebe mpaka raha saivi anaona maruweruwe
 
Sasa Sakho bana?? Aje Richard Branson, Bill gates, Mark Zukeberg, Linus wa Linux ama huyu wa space X hao tutawashwa, sio Beckham ama, eti Sakho? HHhhhhh acha bana!! Aje Beyonce ama Messi Aje Ronaldo yaani Cristiano, ila hawa waliokuja kwa sasa nooooooo hawana lolote!!
Hapo vipi
Screenshot_2017-06-07-16-42-25.jpg
ikulu.jpg
 
Roho mbaya tu na wivu unawapelekesha Tanzania inavyopokea master world elites ndio unaona utoto na mtaisoma number ngoja ile midreamliners yetu itoke workshops huko Canada na US mtatuchoka.

You're now confirming the stereotype of your species down South being primitive.
Niliowashutumu hapo juu Jay456watt naye yupo. Does it mean nina "wivu" na Kenya pia ?

Oh God, I'm talking to a bag of cement. A cuckold.
 
hehe aisee hongereni ... ila niulize chibu anatinga lini apo mbugani maze?[emoji3] [emoji3] [emoji109]
proxy-1.png
proxy-1.jpeg
 
You're now confirming the stereotype of your species down South being primitive.
Niliowashutumu hapo juu Jay456watt naye yupo. Does it mean nina "wivu" na Kenya pia ?

Oh God, I'm talking to a bag of cement. A cuckold.
dude relax!!! unguza yap yap nyingi...ama unatafta marks... stop bringing ur idiotic nonsense here...I dont have an account in Skyscrapercity...u must be seeing ghosts...whatever it is ur smoking, plz stop...
 
The kind of pettiness I see here everyday is amusing. Are there kids in this forum?
Jay456watt, Kadoda11 & Geza Ulole ( yes I see you on skyscrapercity na hujai komaa akili ) are a bunch of juveniles.

Soon you'll start drawing analogies on the amount of sunshine experienced on both sides of the border.
go to hell...stupid kenyan idiot...Geza kujeni mchukue huyu nyoka mmlee huko LDC...
 
dude relax!!! unguza yap yap nyingi...ama unatafta marks... stop bringing ur idiotic nonsense here...I dont have an account in Skyscrapercity...u must be seeing ghosts...whatever it is ur smoking, plz stop...
Hey mdhii chorea kiac I was referring to Geza & his cronies. Tone down the bile, mate.
 
Kuelewa kitu mtu ameandika huwa ni muhimu! Umeona nimeandika wapi hawajafika hawa huko Bongo?

Kukuelezea, nimesema hao mlio wataja kwa sasa hawana uzito wowote! Ingekuwa ni hawa unaowaweka sasa, ningesema pongozi! Ila Sakho? nani anamjua? zaidi ya wafwasi wa Liverpool??
Sasa unajua Liverpool ina wafuasi wangapi duniani?
 
Back
Top Bottom