Kiba mzaire
Senior Member
- Apr 25, 2015
- 120
- 105
Unaongelea mtu mwenye followers 12m instangramKuelewa kitu mtu ameandika huwa ni muhimu! Umeona nimeandika wapi hawajafika hawa huko Bongo?
Kukuelezea, nimesema hao mlio wataja kwa sasa hawana uzito wowote! Ingekuwa ni hawa unaowaweka sasa, ningesema pongozi! Ila Sakho? nani anamjua? zaidi ya wafwasi wa Liverpool??
Sasa Sakho bana?? Aje Richard Branson, Bill gates, Mark Zukeberg, Linus wa Linux ama huyu wa space X hao tutawashwa, sio Beckham ama, eti Sakho? HHhhhhh acha bana!! Aje Beyonce ama Messi Aje Ronaldo yaani Cristiano, ila hawa waliokuja kwa sasa nooooooo hawana lolote!!
Umemkata ngebe mpaka raha saivi anaona maruweruwe