Afukuzwa Kazi Kwasababu ya Urembo Wake

Afukuzwa Kazi Kwasababu ya Urembo Wake

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

4581894.jpg

Debrahlee Lorenzana amefukuzwa kazi kwasababu ya urembo wake Friday, June 04, 2010 3:01 AM
Mwanamke mmoja nchini Marekani amefukuzwa kazi kwasababu ni mrembo sana na nguo za kazi anazovaa zinawachengua wafanyakazi wenzake wa kiume. Debrahlee Lorenzana mama wa mtoto mmoja alikuwa mfanyakazi wa benki ya Citibank lakini umbo lake namba nane na urembo wake ulikuwa ukiwachanganya wafanyakazi wenzake wa kiume kiasi cha kuzorotesha ufanisi wao wa kazi.

Debrahlee mwenye umri wa miaka 33 aliambiwa kwamba nguo za kazini anazovaa kama wafanyakazi wenzake wa kike zinawachengua mabosi wake kiume na wafanyakazi wenzake.

Baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wafanyakazi wanaume, mabosi wake walimshauri Debrahlee asivae baadhi ya viwalo vya kazini kwakuwa vinamfanya aonekane mrembo zaidi.

Debrahlee alipeleka malalamiko kwenye menejimenti ya benki hiyo akiuliza sababu ya kuzuiwa kuvaa nguo ambazo wafanyakazi wenzake wanaruhusiwa kuvaa.

Katika majibu aliyopewa kufuatia malalamiko yake hayo, Debrahlee aliambiwa kuwa wafanyakazi wenzake wa kike wanaweza wakavaa chochote wakipendacho kwakuwa hawana mvuto.

Aliambiwa pia kwakuwa yeye ana umbile namba nane na ameenda hewani sekunde, asivae viatu vyenye soli ndefu kwakuwa vinalifanya umbile lake lionekane vizuri hivyo kuwachanganya zaidi mameneja wake wanaume.

Baada ya miezi 10 katika benki hiyo, Debrahlee alihamishwa kikazi na kupelekwa kwenye tawi jingine la benki hiyo lakini huko alifukuzwa kazi ndani ya mwezi mmoja akiambiwa kuwa ana ufanisi mdogo.

Debrahlee ameenda mahakamani kupinga kufukuzwa kazi.
 
Kwa Ughaibuni, huyo kesha vuta mahela ya bwerererere !!
 
Sasa si wangemshughulikia tuu baaaaaasi mambo inaisha! Tena kukiwa na mrembo ndo kazi inachapwa hasa na pengine kumsaidia za kwake ili akupe kidudu chake
 
Roho zilizoharibika huendekeza mambo ya mwili. Sijaona tatizo la mwanadada huyo alivyovaaa
 
Hapo lazima alipwe fedha za bwerereeeeee. Hapo keshawamaliza na pia inabidi benki imwombe msamaha kupitia menejimenti na pia anaweza kufungua kesi ya harrassement!
 
...Labda kamkatalia Boss! Lakini kwenye kazi za huduma kama benki, mdada akiwa mrembo na nadhifu si ndio mwake! Hii habari kama udaku vile!!!
 
4581894.jpg

Debrahlee Lorenzana amefukuzwa kazi kwasababu ya urembo wake Friday, June 04, 2010 3:01 AM
Mwanamke mmoja nchini Marekani amefukuzwa kazi kwasababu ni mrembo sana na nguo za kazi anazovaa zinawachengua wafanyakazi wenzake wa kiume. Debrahlee Lorenzana mama wa mtoto mmoja alikuwa mfanyakazi wa benki ya Citibank lakini umbo lake namba nane na urembo wake ulikuwa ukiwachanganya wafanyakazi wenzake wa kiume kiasi cha kuzorotesha ufanisi wao wa kazi.

Debrahlee mwenye umri wa miaka 33 aliambiwa kwamba nguo za kazini anazovaa kama wafanyakazi wenzake wa kike zinawachengua mabosi wake kiume na wafanyakazi wenzake.

Baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wafanyakazi wanaume, mabosi wake walimshauri Debrahlee asivae baadhi ya viwalo vya kazini kwakuwa vinamfanya aonekane mrembo zaidi.

Debrahlee alipeleka malalamiko kwenye menejimenti ya benki hiyo akiuliza sababu ya kuzuiwa kuvaa nguo ambazo wafanyakazi wenzake wanaruhusiwa kuvaa.

Katika majibu aliyopewa kufuatia malalamiko yake hayo, Debrahlee aliambiwa kuwa wafanyakazi wenzake wa kike wanaweza wakavaa chochote wakipendacho kwakuwa hawana mvuto.

Aliambiwa pia kwakuwa yeye ana umbile namba nane na ameenda hewani sekunde, asivae viatu vyenye soli ndefu kwakuwa vinalifanya umbile lake lionekane vizuri hivyo kuwachanganya zaidi mameneja wake wanaume.

Baada ya miezi 10 katika benki hiyo, Debrahlee alihamishwa kikazi na kupelekwa kwenye tawi jingine la benki hiyo lakini huko alifukuzwa kazi ndani ya mwezi mmoja akiambiwa kuwa ana ufanisi mdogo.

Debrahlee ameenda mahakamani kupinga kufukuzwa kazi.
Jokes/Utani + Udaku/Gossips
 
Watu wana visa urembo tu ndio sababu ya kumfukuza kazi ? ama kuna jambo lingine chini ya carpet hivi vivazi havina tatizo

toohotforcitibank.jpg

article-1283536-09DF3FD5000005DC-887_233x669.jpg
 
Mtoto kama huyo anakutana na boss ofcn kama Masaki au Xpin lazima zidumishwe mila.
 
Kwa kila alikuwa hana raha hapo kazini kwake, maanake kwa urembo aliojaaliwa usipomtongoza lazzima wewe utakuwa si riziki. s
 
Huyu ni classic example ya wale Wanawake wanaotumia their sexuality to get ahead in life and possibly end up getting rich BIG TIME! Hard as it may turn out to prove in court-of-law, lakini its obvious this damn conceited bitch did this on purpose and planned everything by acting and dressing like a tart just so that she could get fired and eventually end up suing CitiBank for millions of dollars under guise of "sexual harassment". Halafu cha kushangaza, anatoa picha kibao binafsi kwenye Internet akiwa kwenye mavazi na pozi mbalimbali za kufa mtu utadhani ni Supermodel fulani vile: lakini kwa faida gani au faida ya nani haifahamiki? Damn stank-ass MILF!
 
Aaaaaaaaaah! Unajua maumbo haya kwa wazungu ni adimu ila kama ingekuwa huku kwetu mbona la kawaida saaana!
 
mbona mbaya.........................hawajui kuchagua na kuona.....angekuwa kama mbantu labda
 
Nimeona picha bana; sijaona kinachowapeleka puta hao mabaradhuli! Je wangeishi huku kwetu si ndo wangewafukuza kina sia!
 
Back
Top Bottom