Afumaniwa na Mke wa Mtu,nusura auawe

JF inaelekea kufa kifo Cha asili.
Kizazi cha 2000 ndiyo kimejaa kwa sasa jumu jukwaani. Wakiamua kumtukana mtu, wanamtukana mpaka unawaza kama huyu mtoto angekuwa ananitukana hivi akiwa mbele yangu si ningeishia jela!

Ukija kwenye mada za kipuuzi, hizo ndiyo usiseme! Kwa kweli kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…