Mgoni wako kakushikia mguu wa kuku unafanyaje???hakuna binadamu anayeweza kuwa na hamu na kuendelea kusex baada ya kufumwa.umedanganya mazuzu sio mimi.
Think beyond the boxMgoni wako kakushikia mguu wa kuku unafanyaje???
Ofcz nyege mbaya sana,wote wawili wamedhalilika,kuchapiwa siri ya ndaniKwahyo kuteswa ndio kukufanye ugalagazwe oyoo? Hapo nani amedhalilika?
How??Think beyond the box
Hii ishu haihitaji PhD wala ninibado wanadamu hawajui kuna nini nyuma ya matukio kama haya.
kuna siri kubwa juu ya hisia au mtu kupata wazo juu ya jambo fulani na kumbe jambo hilo linatokea?
mwanaume huyu mpaka kuja ofisini, tena kaja na kana kwamba anajua kinachotokea na mambo haya yanatokea mengi katika jamii bila watu kupewa taarifa na walioko maeneo ya matukio.
wapo wengine anaweza kuijiwa na hisia juu ya jambo mfano kunatokea jambo baya kwa jamaa wa mtu alafu watu walioko mbali wanaanza kupata ama hisia au ishara au wakati mwingine kujisikia hawana furaha hata kabla hawajapata taarifa.
kukwambia ukweli wakati mwingine huyu dada aliyekumbana na tukio kama hili inaweza kuwa hana tabia za kuchepuka ila siku moja anasikia hisia zinamzidi anafanya tukio la ajabu linasababisha wanaochepuka kila siku kumcheka.
kuna siri gani juu ya matukio kama haya?
ki msingi kuna siri kubwa nyuma ya matukio kama haya au mengine ya namna hii kama tuliosikia kule mara watu wanaingiwa na hisia na kuwaua watu wakiamini hisia zao kuwa ndio wanawakwamisha ua kuwaroga. kuna nini nyuma ya hisia? kuna nini nyuma ya hisia mpaka mtu anaamini anaweza kupata utajiri kwa kutumia kiungo cha albino?
ki msingi kuna siri kubwa nyuma ya hisia but unfortunately our "proffessors kutoka UD wamegoma kulet watu ku uncover what is behind" bado wao wanaamini katika madesa ya kutoka ng'ambo ya maji.
lakini huyu dada ni victim na kwa wakati huu si swala la kumcheka bali kumfariji ili kumuondolea sychological stress.
Yuck [emoji55] [emoji55]mbona ni ishu za kawaida, ofisini kwangu kila siku nakuta condom kwenye ndoo ya uchafu ila kila nikipeleleza sijui wahusika ni akina nani
Nyooo usingeleta na umbea wako kabisa!!!Siwezi fanya hivyo coz ni mazingira ya kazin na inahusu staff wenzangu
Hahahahaha hadithi haina mashiko....Mbon mdomo umekulegea hivyo
Nikitoka hapo nawapiga risasi za kichwa.Am not a joking guy.Kitakacho nilegeza miguu ni kuwaza amekuwa loose kiasi gani mpaka analiwa ofisini!Kwahiyo utalegea siyo?
Wengi hawatakuelewa ila wengine tumekuelewa. Inaonyesha unajielewa, I wish watu wote tungeelewa hivyoOfcz nyege mbaya sana,wote wawili wamedhalilika,kuchapiwa siri ya ndani
Mi sifumanii jmn,ubavu wa kumuacha sina na kwnn nifaidishe watu
Siyo hivyo, kuacha mke au mume si jambo la mchezo. Unafumania unapandisha likishuka mnaendelea kuishi wote kwa vidonda rohoni. Ila kuna mtu humu ana signature imeandikwa fumanizi linaimarisha ndoa. Nadhani yupo sahihi kwani kama mke wako alikuwa kijogoo ukimfumania tangu hapo hadi afe utakuwa ni kijogoo wake maana akifanya fokyo unamchapa kwa hilo fumanizi lazima awe mdogo kama piritoniKwahiyo kufumania ni zoezi gumu lataka moyo, siyo?