Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Kwahyo kuteswa ndio kukufanye ugalagazwe oyoo? Hapo nani amedhalilika?
Ofcz nyege mbaya sana,wote wawili wamedhalilika,kuchapiwa siri ya ndani
Mi sifumanii jmn,ubavu wa kumuacha sina na kwnn nifaidishe watu
 
bado wanadamu hawajui kuna nini nyuma ya matukio kama haya.

kuna siri kubwa juu ya hisia au mtu kupata wazo juu ya jambo fulani na kumbe jambo hilo linatokea?

mwanaume huyu mpaka kuja ofisini, tena kaja na kana kwamba anajua kinachotokea na mambo haya yanatokea mengi katika jamii bila watu kupewa taarifa na walioko maeneo ya matukio.

wapo wengine anaweza kuijiwa na hisia juu ya jambo mfano kunatokea jambo baya kwa jamaa wa mtu alafu watu walioko mbali wanaanza kupata ama hisia au ishara au wakati mwingine kujisikia hawana furaha hata kabla hawajapata taarifa.

kukwambia ukweli wakati mwingine huyu dada aliyekumbana na tukio kama hili inaweza kuwa hana tabia za kuchepuka ila siku moja anasikia hisia zinamzidi anafanya tukio la ajabu linasababisha wanaochepuka kila siku kumcheka.

kuna siri gani juu ya matukio kama haya?

ki msingi kuna siri kubwa nyuma ya matukio kama haya au mengine ya namna hii kama tuliosikia kule mara watu wanaingiwa na hisia na kuwaua watu wakiamini hisia zao kuwa ndio wanawakwamisha ua kuwaroga. kuna nini nyuma ya hisia? kuna nini nyuma ya hisia mpaka mtu anaamini anaweza kupata utajiri kwa kutumia kiungo cha albino?

ki msingi kuna siri kubwa nyuma ya hisia but unfortunately our "proffessors kutoka UD wamegoma kulet watu ku uncover what is behind" bado wao wanaamini katika madesa ya kutoka ng'ambo ya maji.

lakini huyu dada ni victim na kwa wakati huu si swala la kumcheka bali kumfariji ili kumuondolea sychological stress.
Hii ishu haihitaji PhD wala nini
Mshaona mmezidiwa tafteni Lodge,ofisini tena mida ya kazi, there's a lot to loose,bora ht iwe late night
 
Noma sana.Yaani ninavyompenda mke wangu,nikimkuta analiwa hivyo miguu itaishiwa nguvu
 
sasa kwanini walimkimbiza hospital wakati mwenyewe alikuwa na lengo nzuri kabisa la kujiua?!
 
sasa kwanini walimkimbiza hospital wakati mwenyewe alikuwa na lengo nzuri kabisa la kujiua?!
Lengo ni kunusuru maisha yake maana Mungu bado hamuhitaji..pia ugeni wa ghafla kwaungu hauna nafasi
 
Ofcz nyege mbaya sana,wote wawili wamedhalilika,kuchapiwa siri ya ndani
Mi sifumanii jmn,ubavu wa kumuacha sina na kwnn nifaidishe watu
Wengi hawatakuelewa ila wengine tumekuelewa. Inaonyesha unajielewa, I wish watu wote tungeelewa hivyo
 
Mbona kama story hivi. Yani ufumaniwe na mke wa mtu tena ofisini na mgegedo uendelee kuwa umesimama tu na bastola juu. Hisia zitatokea wapi hapo kusimamisha machine gani.. Bydaway napita zangu tu
 
Kwahiyo kufumania ni zoezi gumu lataka moyo, siyo?
Siyo hivyo, kuacha mke au mume si jambo la mchezo. Unafumania unapandisha likishuka mnaendelea kuishi wote kwa vidonda rohoni. Ila kuna mtu humu ana signature imeandikwa fumanizi linaimarisha ndoa. Nadhani yupo sahihi kwani kama mke wako alikuwa kijogoo ukimfumania tangu hapo hadi afe utakuwa ni kijogoo wake maana akifanya fokyo unamchapa kwa hilo fumanizi lazima awe mdogo kama piritoni
 
Back
Top Bottom