Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Nawapa pole sana hawa wenzetu kwa janga hili.Hakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho wake.Nahc kazi yao itaota mbawa
 
Mnaotaka picha azitoe wapi?,we unaweza kumpiga picha boss wako akiwa kwenye hali hyo?,isitoshe aliyezipiga hakuturushia
Huyu mwenyewe aliyemsindikiza me ofisini kwa boss kibarua kipo ICU itakuwa umpige picha
 
Duuu
Aibu ya mwaka hii,huyo Dada atakuwa anatamani dunia ipasuke aingie ...
 
Huu ni uongo wa mchana kweupe....how come huyo boss afanye hivyo bila hata kufunga mlango..?
 
Hii ni chai kama mleta uzi akiweza thibitisha nipigwe life ban!
Ni kweli kabisa Mleta uzi ana hasira zake kaitunga tu
ni ofisi gani utaingia moja kwa moja na kuwapita walinzi km zio mchongo wao kumkamatisha mke na mume waq mtu?
ni wajinga kiasi gani wabamandane ofisini bila ya kufunga mlango
ni member gani wa JF asiye hata na kasimu ka tochi atutupie picha?
Ok Monicca tutajie hiyo ofisi ipo kijiji gani km huwezi tupa picha na Mji
 
Inawezekana jamaa alikuwa anatrack mawasiliano ya mkewe. You never know!

Kumu track electronically in realtime sawa, so vinginevyo MKUU - ofisi za watu huwezi kuwa na ujasiri wa namna hiyo!
 
Wandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.

Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.

Kuna mdada nafanyanae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.

Chakushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa, jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.

kwakweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea..jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.
Mnhhhhhh!Uongo mwingine jamaniiii!
 
lecturer6.jpg


Ndio hawa au hii ni ya mfano?
 
Back
Top Bottom