miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Maeneo gani hayo ? Nami nipite hukoMkuu stori hii ni ya kweli nilikuwa nahitaji huduma ya bima ya gari Leo nikapita mahali fulani nikakuta ndo habari ya mjini, nimeshangaa kuikuta imesharushwa jf
Huyu mwenyewe aliyemsindikiza me ofisini kwa boss kibarua kipo ICU itakuwa umpige pichaMnaotaka picha azitoe wapi?,we unaweza kumpiga picha boss wako akiwa kwenye hali hyo?,isitoshe aliyezipiga hakuturushia
Namna ya kukuelekezo ndo issue mkuu but ni maeneo ya postaMaeneo gani hayo ? Nami nipite huko
Ya ziada. Hivi lini pesa ikatosha?Pesa yeye si anafanya kazi hazimtoshi...
Mhhhhh!! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna watu wakishtuka wakiwa kwenye hatari akiwa na hasira boro ndiyo linasimama
Sawa mkuuNamna ya kukuelekezo ndo issue mkuu but ni maeneo ya posta
Nadhani anatamani hako kauke kawe kaumeDuuu
Aibu ya mwaka hii,huyo Dada atakuwa anatamani dunia ipasuke aingie ...
Ni kweli kabisa Mleta uzi ana hasira zake kaitunga tuHii ni chai kama mleta uzi akiweza thibitisha nipigwe life ban!
Ndiyo mkuu .. Kuna watu wakiwa na hali isiyoeleweka wanakuwa na nyegeMhhhhh!! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Inawezekana jamaa alikuwa anatrack mawasiliano ya mkewe. You never know!
Mnhhhhhh!Uongo mwingine jamaniiii!Wandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.
Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.
Kuna mdada nafanyanae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.
Chakushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa, jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.
kwakweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea..jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.
Maji yakizidi unga unafanya mkuu...Ila hiii wamechomewa na mmoja wa wafanyakazi kama sio hadithi ya kutunga
Kabisaaa na jamaa hakuwa mbali ndio kama kaja harakaHuenda kuna mmoja wenu kauza mchongo mzima.