Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Hii stori ya kufikirika. yani unadanganya watu wazima aisee
 
Swali kwa wanaume: ukishikiwa bastola bado dushe inaweza kufanya kazi? Yaani network inakuwa H+?
Pole yake bidada..km ndio mie home sirudi. Na huyo boss lazima anioe hata kwa nguvu.

Kuhusu network inakuwa ni LTE kabisa... Yaani ile 4G iliyo tukuka tena unaweza kojoa dk hio hiyo goli ambalo halijawahi tokea ina sadikiwa lile goli linaweza toboa kizazi kwa maana likiwa open space lina weza ruka mita tano kwa speed kali na wingi mno....

Ukitaka prove siku moja toa bastola wakati mjamaa ndo anakuja utaona
 
HAHAHAHA.. NINAVYOONA MIE HUYO MUME ALIKUWA NA INFORMER HAPO NA NINADHANI ALITONYWA NA MTU ANAYEJUA KINACHOENDELEA na hapo alikuwa kapewwa data kamili ya kinachoendelea so alikuja kukamata mwizi wake na si vinginevyo wacha akamatwe nyambafu zake guest? hakuna mpaka afanyie upuuzi wake ndani ya ofisi


safiiiiiiiiiiii

leo mke harudi nyumbani...
 
Huyo boss si mimi kweli...? Na niliyefumaniwa nae sii wewe mrembo? Ngoja tusubiri picha "kwadha"
 
wanawake ni vigeu geu sana, unakuwa nae kwenye mausiano hadi miaka 3 wakati wote unakula vituz ana anakusifia tu oh ww mtamu oh unajua sana, unapeleka posa anakubali mara harusi watu wanashangilia sana baada ya hapo akishaanza michepuko yake akikutana na mihogo ya jangombe anaanza kashfa mara kibamia, mara kigunzi mara dakika 3 tu umeshakojoa hee! mbona kabla ya kuoana uliikuwa hulalamiki? hamjui tunahangaika sana kwa ajili ya kutafuta pesa ili familia iishi vizuri? mbona sisi hatuwasemi nyie? acheni hizo bhana....................
 
hahahaaaa guest hiyo inakua ki-official sana yaaan mmejiandaa lkn cha kichakan ni kama ajali tu ya bodaboda ambayo inatokea kila mara na bila taarifa
asee utamu utaupata we najua ntakuwa nimeninginiza mguu mmoja mtini πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„huku nahofia kugongwa na nyokaπŸ™
 
Boss nae ni mzembe. Afukuzwe kazi kwa kosa la kutofunga mlango. Au alipanga na jamaa mwenye mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…