kijana mgumu
Member
- Jan 26, 2013
- 48
- 15
Duuh kazi ipo...........................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngojea mvua ziishee kwanza!!!Hahahaha..nije uniajiri?
Siamini kama kuna mtu ana ujasiri wa kushimamisha katika situation hiyo, kafumaniwa + kashikiwa bastola + watu wanamuangalia basi ni porn star huyoWandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.
Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.
Kuna mdada nafanyanae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.
Chakushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa, jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.
kwakweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea..jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakacho jili baada ya hapa.
mbona ni ishu za kawaida, ofisini kwangu kila siku nakuta condom kwenye ndoo ya uchafu ila kila nikipeleleza sijui wahusika ni akina naniWandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.
Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.
Kuna mdada nafanyanae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.
Chakushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa, jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.
kwakweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea..jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakacho jili baada ya hapa.
Wandugu habari za kazi,

Hapo anavua chupi tuWatu wana hatari jamani!! ivi unavuaje nguo ukafanya mambo mabaya kazini na una mume nyumbani...?
Siamini kama kuna mtu ana ujasiri wa kushimamisha katika situation hiyo, kafumaniwa + kashikiwa bastola + watu wanamuangalia basi ni porn star huyo
Watu wana hatari jamani!! ivi unavuaje nguo ukafanya mambo mabaya kazini na una mume nyumbani...?