Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Siwezi fanya hivyl coz ni mazongra ya kazin na inahusu staff wenzangu
got your point....ila mh balaaa ini aibu ya mwaka hapo mke anaacha kazi mwenyewe kama akishindwa himili...ndoa inavunjika...vitisho vinakuja toka kwa mume mtu ...mwisho wa siku anaweza sambaza picha kwa kukomoa au asipopata anachotaka...its a disaster aisee....upande wa pili nini shida nyege au haridhishwi namume wana mgogoro au nini kuzidiwa hadi ku bang ofisini bora waneenda haa nje mida flani
 
Yaaani kila mtu anashangaa walikuwa na amani sana kwa mujibu wa rafiki take na wala hawakuwa na ugomvi wwte
 
got your point....ila mh balaaa ini aibu ya mwaka hapo mke anaacha kazi mwenyewe kama akishindwa himili...ndoa inavunjika...vitisho vinakuja toka kwa mume mtu ...mwisho wa siku anaweza sambaza picha kwa kukomoa au asipopata anachotaka...its a disaster aisee....upande wa pili nini shida nyege au haridhishwi namume wana mgogoro au nini kuzidiwa hadi ku bang ofisini bora waneenda haa nje mida flani
Mkuu hata shetani mwenyewe anakimbia maana duuu
 
Yaani mimi nimkute demu wangu achilia mke analiwa uroda ofisini hakiya nani nawatwanga risasi ya moyo ili wafe na maumivu makali.
 
Mtu akiwa malaya/mhuni, atafanya ngono popote na yoyote. Hapo wamekutana mhuni(bosi) na malaya(mke wa mtu).
Sijui anakua hatoshelezwi na kusema anaogopa,mie nasema kama hainitosha nasema bila ki gugumizi..
 
Wandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.

Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.

Kuna mdada nafanyanae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.

Chakushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa, jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.

kwakweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea..jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakacho jili baada ya hapa.
Masada tutani
 
Sasa huyo boss baada ya kuamriwa aendelee kumgegeda mbo.o ilisimama kweli ama aliisokomeza hivyo hivyo kwa uoga wa bastola?tupe more updates tafadhali.
 
Back
Top Bottom