mapanga3
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 665
- 633
Mbona atakoma kwa kiherehere chake kutupia habr ambazo zinawachukiza wengiUkiambiwa kuwa nn wewe ulomuita mmewe utakana? Iweje uingie na mgeni kwa ofis ya boss bila hodi? Kwa nn hukuanza wewe kwenda mwenyewe kwa boss? Ofis yenu haina secretary au ndo wewe? Kama ndo wewe mbona ma secretary huwa wanaanza kuongea na ma boss? Basi una unafiki bi dada maana hiyo unayosema eti ni shoga yako mi naona ni unafiki na ww ndo ulimuita mumewe!