Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
- Thread starter
-
- #21
Upuuzi tuu
Smart guy
[emoji16][emoji16][emoji23]Sio aaron huyu
Ndugu yetu humu
Jamaa kazingua sana yaani unazi mpaka harusini daah.Upuuzi wa nan
Niliwahi kusema shabiki wa Arsenal awe mwanaume au mwanamke ndio anafaa kuoa/kuolewa... tumejawa na uvumilivu na mapenzi ya dhati. [emoji4]
Viva Arsenal [emoji1479]
We ni mshabiki wa asenali???
Sio shabiki tu, shabiki wa kutupwa wa Arsenal.
[emoji22] [emoji22] [emoji22] mi nilizani we ma uSio shabiki tu, shabiki wa kutupwa wa Arsenal.
[emoji22] [emoji22] [emoji22] mi nilizani we ma u
Smart guy
Naam kaka ila kwa sasa tunajikongoja sana ila tutafika tuKama ww
Naam kaka ila kwa sasa tunajikongoja sana ila tutafika tu
Smart guy
Kujinyonga kisa timu!!!!....kwenda zako hukoHii timu ina mashabiki maandazi sana aisee,,,,,ndo inayoongoza kwa watu wake kujinyonga huko kenya
je mke nae atakua mvumilivu?,huaga wanakua na frastration ao nduguSi wanasemaga washabiki wa Arsenal ni wavumilivu sana!
Mkuu unashabikia timu gan?
Kisa cha kuachaHaha niliachaga kushabikia mpira tangu 2011,nilikua chelsea
Kisa cha kuacha