Afunga ndoa na jezi

Afunga ndoa na jezi

We ni mshabiki wa asenali???
Niliwahi kusema shabiki wa Arsenal awe mwanaume au mwanamke ndio anafaa kuoa/kuolewa... tumejawa na uvumilivu na mapenzi ya dhati. [emoji4]
Viva Arsenal [emoji1479]
 
Hii timu ina mashabiki maandazi sana aisee,,,,,ndo inayoongoza kwa watu wake kujinyonga huko kenya
 
Rafiki Yangu Kitoi alipandwa na presha mpaka tukamuongezea drip nusura afe kwa kuipenda aseno na matokeo wanayoyapata
 
Back
Top Bottom