Afunga ndoa na jezi

Ni sawa na yule Kindoki wa Yanga yangu.
Naye asingeozeshwa kwa ndoa ya mkeka hakika angefunga ndoa yake akiwa na jezi pamoja na magwanda na bendela na matambala yote Yanga fc.

Yuko radhi kumkodisha mkewe kwa mtu na kumuweka poni ili Yanga ishinde.

Yanga mpeni kazi ya usemaji wa timu huyo mtu.
Nina uhakika ni kazi anayoipenda kuliko zote hapa duniani na ataifanya hata kwa kujitolea bila malipo.
 
sasa huyu ndo mnazi wa arsenal original,,huwez kua shabiki wa arsenal af ukawa kibonge...utakua ni unafiki
 
Mke analo la kujifunza kwa mumewe........uvumilivu!
 
Mashabiki wa arsenal akili zao wanazijua wenyewe.
Cc MO11
 
Nilipolisoma bichwa lako la habari nilifikiri kaoana na jezi.

Kumbe kafunga ndoa akiwa amevaa jezi.

Punguani Wahed.
 
Kuna watu wana mapenzi ya dhati kweli maana Timu yenyewe matatizo tele mashabiki zake wamejaa stress ila yeye kagonga hadi Njumu.....

Jamaa anaipenda Arsenal kiukweli.

Miaka ya Ferguson kuna mshabiki alienda mahakamani kubadili jina aitwe Manchester na surname iwe United.

Wakakubali first name, la pili wakakataa, akakata rufaa akashinda.
 
Jamaa anaipenda Arsenal kiukweli.

Miaka ya Ferguson kuna mshabiki alienda mahakamani kubadili jina aitwe Manchester na surname iwe United.

Wakakubali first name, la pili wakakataa, akakata rufaa akashinda.
Hahah! Watu wana mapenzi ya dhati na timu zao, kwahiyo jamaa akawa anaitwa Manchester United?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…