mission compleate on this Friday.
Unauhakika na unacho kisema?
n bora msipost kabxa
MOH calender inasema on 11 th of oct NO EVENT, We unasema 2ku trust. Bro a2kutrust ata kidogo ila 2nakupa probability 2 maana washakuja wakujiita ma Dr. Araf wakasema cku 3 paka leo nitakribani week amna lolote katika website zaid ya matangazo ya ARV 2.
Sasa....wa afya ndo nini ? We sema unaprofeshen gani mkali ili tukutrust jembe au cio!
samahani kwa hili Afu mwanaume wa kweli haitwi jembe..
amakweli hii ni kauli mbiu ya kilimo kwanza kama tumeanza kuitana majembe basi wizara watakua shamba
NI MTAZAMO TU
Yote haya ya MOH!!