Afya Afya! Mpango mzima tar 11 msihofu juu ya hili.

Afya Afya! Mpango mzima tar 11 msihofu juu ya hili.

Unauhakika na unacho kisema?

startng frm the buttom....
Tumedanganyana sanaaaa mwez wa tisa mwishoni, mara bado siku tatu.
End up to the final ..
11 friday ni siku nzuri ambayo wafanyakai weng wa wizara hawana kaz nyigi ilhal na weekend ipo karibu.
 
MOH calender inasema on 11 th of oct NO EVENT, We unasema 2ku trust. Bro a2kutrust ata kidogo ila 2nakuprobability 2 maana washakuja wakujiita ma Dr. Araf wakasema cku 3 paka leo nitakribani week amna lolote katika website zaid ya matangazo ya ARV 2.
 
MOH calender inasema on 11 th of oct NO EVENT, We unasema 2ku trust. Bro a2kutrust ata kidogo ila 2nakupa probability 2 maana washakuja wakujiita ma Dr. Araf wakasema cku 3 paka leo nitakribani week amna lolote katika website zaid ya matangazo ya ARV 2.
 
we nani kakuambia kwamba MOH calender inaonyesha hadi siku ya post kutoka .
Ni ivii lile ni suala la probability so wanaweza kupanga date afu yasiwe yamekamilika thats why hawaeki date rasmi ..
We cha msingi hizi taarifa zinazotoka hapa siyo zote ni sahihi kwa kuwa inaweza kuwa sahii lakini ikatokea event flani au yakawa bado.
Tunaelewa kuwa wanayachakachua mno hasa wale ndgu zetu wa Diploma ila kinachohitajika juu ya hili ni kumuomba mungu wako tu na kuwa na tumaini.
Yeah hii ijumaa ndo siku yao ya mwisho juu ya hili suala kwa kuwa ukiangalia huu ndo mwezi wa faculty za afya kwa governt kwenda vyuo..
Sitazamii kuwa yatachelewa maana leo ni jumatano bado siku mbili cha msingi ni wahusika kujiandaa na masuala ya joining forms ambazo mtaonyeshwa mtandaoni MOH pamoja na siku ya kwenda vyuoni ..
Msihofu kwani mimi ni .........wa hapa Afya.....
 
Back
Top Bottom