Afya Bahati Bukuku yazidi Kuimarika na wala hajavunjika mgongo

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
13,277
Reaction score
40,924
[h=3]TAARIFA KATIKA PICHA : AFYA YA BAHATI BUKUKU YAZIDI KUIMARIKA NA WALA HAJAVUNJIKA MGONGO[/h]

Hali ya mwimbaji wa nyimbo za injili Bahati Bukuku inazidi kuimarika na kuendelea vizuri kama GK ilivyomshuhudia akiwa nyumbani kwake Tabata, akiwa mwenye furaha kuwaona watu mbalimbali wakiwemo waimbaji wenzake ambao wameenda kumjulia hali.
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Bahati Bukuku akiwa amekaa nyumbani kwake[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Bukuku ambaye kwa sasa anaendelea kuutibu mgongo ambao umepata maumivu na wala haujavunjika kama taarifa nyingine zilivyosambazwa.. Pia GK ilimshuhudia akiwa amekaa na marafiki zake huku akiendelea kumshukuru Mungu aliyewaepusha na ajali hiyo.

Bukuku anasema kama sio Mungu kuingilia kati basi sasa hivi ingekuwa habari nyingine, kwani mara baada ya lori kuwagonga alijaribu kutoka katika gari alilokuwemo lakini alishangaa anashindwa kuamka ndipo alipogundua kuwa ameumia mgongo lkn kwa sasa hali yake inaendelea vyema. Pia dereva wa gari hilo Edson Mwakabungu ambaye aliumia mguu anaendelea vizuri pamoja na kijana Frank ambaye alipata jeraha dogo kichwani naye anaendelea vyema.

Zifuatazo ni picha zikimuonyesha Bahati Bukuku akiwa na ndugu na marafiki mbalimbali waliofika nyumbani kwake kumjulia hali.
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Jennifer Mgendi akizungumza na Bahati[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Ambwene Mwasonge akimjulia hali[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Gospel Kitaa (GK) ikijadili jambo na Bahati[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Irene Mwamfupe (kushoto) pamoja na Ikupa Njela (kulia) wakiwa pamoja na rafiki yao Bahati[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Edson Mwakabungu ambaye alikuwa dereva na kuumia mguu katika ajali hiyo akiwapasha kilichojiri marafiki zake
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Edson Mwasambwite (kulia) akiwa na Aliko nao walifika kumjulia hali[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Ambwene Mwasongwe akisalimia ndugu mbalimbali waliofika[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Emanuel Mgogo (mwenye shati jekundu) aliyeimba wimbo unaoitwa Msikilize Mungu akizungumza na Edson[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

MAOMBI YAKAMIMINWA

Gospel Kitaa tunamwamini Mungu ambaye ameanzisha kufanya uponyaji kwao, ndiye atayekamilisha. Endelea kuwakumbuka katika maombi kwani Mungu anasikia na anajibu.
 
amen...naweza pata namba za management ya gospel kutaa nipo arusha.
 
huyu dada mimi binafsi sijamuelewa, yale magari ya IT huwa wanapanda watu waliopungukiwa nauli na watu wasiyo yathamini maisha yao ni sawa na yale magari ya magazeti kwa sababu yanaendeshwa na wahuni..tena ni kinyume cha sharia kupakia abiria kwani wana kuwa hawana cover ya bima sasa sijui huyu dada alisukumwa na nini kwenda kupanda hayo "majeneza"
 
Mungu amsaidie apone mapema katika Jina la Yesu Kristo Amen.
 
huyu dada mimi binafsi sijamuelewa, yale magari ya IT huwa wanapanda watu waliopungukiwa nauli na watu wasiyo yathamini maisha yao ni sawa na yale magari ya magazeti kwa sababu yanaendeshwa na wahuni..tena ni kinyume cha sharia kupakia abiria kwani wana kuwa hawana cover ya bima sasa sijui huyu dada alisukumwa na nini kwenda kupanda hayo "majeneza"
Alikuwa kwenye nadia.
 
Alikuwa kwenye nadia.

Nadia haikuwa yake. Ilikuwa inapelekwa kwa mwenyewe nje ya nchi. Magari ya namna hiyo huitwa IT. Kirefu chake ni 'In transit'. Kisheria magari hayo hayapakizi abiria. Hayana bima ya ku cover vitu kama ajali. Na idadi ya wanaoruhusiwa kuwemo kwenye hayo magari ni watu watatu akiwemo dereva.

Kwa kawaida magari hayo hutembea masaa 24 lakini wanapenda sana kuendesha usiku. Ukipanda kama abiria unalipa nauli ya chini kuliko ile ya kawaida. Sasa swali, kwa nini Bahati aliamua kupanda hayo magari?
 
Nafikiri ni imetokea tu balaa haitabiriki ila Bahati anayo hela ya kutosha sielewi nini kimemfanya asafiri na hizi mnazosema IT.
 
kyala nnunu mwe! tummenye ikupoka nu kubhatula abhandu bhake bhabhombeko kabhombo kake. ndaga kalumbu. ujesu akusajege.
 
huyu dada mimi binafsi sijamuelewa, yale magari ya IT huwa wanapanda watu waliopungukiwa nauli na watu wasiyo yathamini maisha yao ni sawa na yale magari ya magazeti kwa sababu yanaendeshwa na wahuni..tena ni kinyume cha sharia kupakia abiria kwani wana kuwa hawana cover ya bima sasa sijui huyu dada alisukumwa na nini kwenda kupanda hayo "majeneza"
Nimecheka sana eti majeneza!!haya bana inaelekea hajipendi yale magari ukipanda kila saa tumbo linakata kwa ujumla ni balaa!!
 
Pacha wake na frola mbasha, hv sasa anatoka na nani maana kwa mumewe alishakimbiaga kwa mujibu wa magaze pendwa.mwenye kujua sakata lile liliishia vipi,amwage hapa.
 
Huwezi mfananisha na Flora Mbasha hata kidogo. Muwewe fuska alimtesa sana huyu dada Bahati. Ilifika mahali mumewe akawa anatembea hadi na marafiki za Bahati na mara ya mwisho alimtia bidada mmoja mimba na magazeti yaliandika sana. Bahati alikonda sana na sasa afya imerudi na kuzidi baada ya kutengana na mumewe. Nimeipenda nyumba yake. Pongezi dada na alipo Dan basi atizame picha hizi ajiulize ukuu wa Mungu.
 
[h=3]TAARIFA KATIKA PICHA : AFYA YA BAHATI BUKUKU YAZIDI KUIMARIKA NA WALA HAJAVUNJIKA MGONGO[/h]

Hali ya mwimbaji wa nyimbo za injili Bahati Bukuku inazidi kuimarika na kuendelea vizuri kama GK ilivyomshuhudia akiwa nyumbani kwake Tabata, akiwa mwenye furaha kuwaona watu mbalimbali wakiwemo waimbaji wenzake ambao wameenda kumjulia hali.
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Bahati Bukuku akiwa amekaa nyumbani kwake[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Bukuku ambaye kwa sasa anaendelea kuutibu mgongo ambao umepata maumivu na wala haujavunjika kama taarifa nyingine zilivyosambazwa.. Pia GK ilimshuhudia akiwa amekaa na marafiki zake huku akiendelea kumshukuru Mungu aliyewaepusha na ajali hiyo.

Bukuku anasema kama sio Mungu kuingilia kati basi sasa hivi ingekuwa habari nyingine, kwani mara baada ya lori kuwagonga alijaribu kutoka katika gari alilokuwemo lakini alishangaa anashindwa kuamka ndipo alipogundua kuwa ameumia mgongo lkn kwa sasa hali yake inaendelea vyema. Pia dereva wa gari hilo Edson Mwakabungu ambaye aliumia mguu anaendelea vizuri pamoja na kijana Frank ambaye alipata jeraha dogo kichwani naye anaendelea vyema.

Zifuatazo ni picha zikimuonyesha Bahati Bukuku akiwa na ndugu na marafiki mbalimbali waliofika nyumbani kwake kumjulia hali.
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Jennifer Mgendi akizungumza na Bahati[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Ambwene Mwasonge akimjulia hali[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Gospel Kitaa (GK) ikijadili jambo na Bahati[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Irene Mwamfupe (kushoto) pamoja na Ikupa Njela (kulia) wakiwa pamoja na rafiki yao Bahati[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Edson Mwakabungu ambaye alikuwa dereva na kuumia mguu katika ajali hiyo akiwapasha kilichojiri marafiki zake
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Edson Mwasambwite (kulia) akiwa na Aliko nao walifika kumjulia hali[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Ambwene Mwasongwe akisalimia ndugu mbalimbali waliofika[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Emanuel Mgogo (mwenye shati jekundu) aliyeimba wimbo unaoitwa Msikilize Mungu akizungumza na Edson[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

MAOMBI YAKAMIMINWA

Gospel Kitaa tunamwamini Mungu ambaye ameanzisha kufanya uponyaji kwao, ndiye atayekamilisha. Endelea kuwakumbuka katika maombi kwani Mungu anasikia na anajibu.

Naona Ndugu zetu wa NDAGAFIJO NDAGAFIJO WATUPU HUMO
 
Jamani hii ni hospital gani au nyumbani kwao
Sio nyumbani kwao hapo ni kwake, Bahati anayo hela ya hatari kama hujui sema ni mtu asiyekuwa na ushamba wa vijisenti.

anayo nyumba nyingi tu dar, Hotel kahama, pia anajihusisha na Biashara za madini, kampuni ya muziki na mengine mengi,
 
Mungu amekusamehe,najua wewe ni wa upande mwengine,.
Bahati Mungu alikuwa anakuonya na rushwa toka kwa Makamba,na wale wote waliochukua warudishe
what are you trying to tell me?
 
Back
Top Bottom