Wataalamu wa Afya nisaidieni juu ya hili. mimi nina mwaka (1) . tangu niwe na tatizo la kukosa hamu ya chakula, kuhisi kichefuchefu, naombeni mchango wenu hata ushauri wenu nikwanamna gani nitaweza kupona kwani nimekonda kishenzi. nakaribia kufa.

Changanya Juice ya TANGAWIZI, Juice ya Limau na Chumvi Mawe kwa vipimo vilivyo sawa. Hakikisha umechanganya vizuri. Kunywa dawa hii kabla ya Chakula.
Vingineyo changanya vipimo vilivyo sawa sawa vya Juice ya TANGAWIZI na Sukari Mawe. Koroga vizuri, kunywa kabla ya kula chakula. Dawa hii husafisha Ulimi na Koo na
hukuongeza hamu ya kula na kukufanya uwe ni mchangamfu.