Afya ni Huduma, tuboreshe Hospitali za Umma

Afya ni Huduma, tuboreshe Hospitali za Umma

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Afya ni Huduma kwa Jamii wala sio chanzo cha Mapato hivyo ni Muhimu sana kwa hizi Kodi zetu tunazolipa kuhakikisha Huduma za Kiafya zinamfikia kila mmoja wetu bila kujali kipato chao.

Lakini sio sahihi kushinikiza watu binafsi kwa kuwapangia Bei au Kuwalazimisha wachukue BIMA sababu huenda kwao wanaona hizo bei au huduma hazilipi; Hivyo badala ya kutafuta mchawi kwa wajasiriamali/wafanyabiashara ambao wapo pale kutengeneza faida kwao na wana-Hisa wao basi tuhakikishe Hospitali zetu za Umma zinakidhi Mahitaji; kwa wenye kipato watakwenda Private hata wakichajiwa kwa sekunde.....

Badala ya kwenda na system kama ya USA tunaweza kutumia ya UK (NHS).

Healthcare in the United Kingdom is publicly funded, generally paid for by taxation. However, the UK also has a private healthcare sector, in which healthcare is acquired by means of private health insurance. This is typically funded as part of an employer funded healthcare scheme or is paid directly by the customer.
 
Back
Top Bottom