Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Kwa asilimia kubwa ya utamaduni wetu hapa Tanzania mtu anapopitia hali ngumu kiakili huwa ana dhaniwa katika nadharia za kuwa anavuta bangi, ameishiwa (amefulia), anajifanya kujitenga tenga, amelogwa, sio shupavu, etc
Lakini mental disorder is real!!!, na sisi Tanzania tupo nyuma sana katika hili.
Na muda baada ya muda, tumeona vijana wakileta nyuzi nyingi humu kuhusu kukataa tamaa kutokana hali ngumu wanazopitia either kimaisha au kiakili. Wengine wameenda too far hadi kusema hawaoni umuhimu wao katika haya maisha.
Kiurahisi unaweza mchukulia poa huyu mtu, ni kwa sababu tu haupitii msongo na pressure anayo-face.
Uzi uwepo, uwe one stop ta kupata madini full kuhusu ushauri, elimu, faraja na namna ya kukabili ugumu wowote wa kiakili.
Thanks.