Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
ni sawa ila tujue duniani fadhaa (stress) hazitokaa zitoweke.
tumtwike Yesu fadhaa zetu, naye atazibeba.
"njooni ninyi nyote msumbikao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha"
Mathayo 11 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁸ Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
²⁹ Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
³⁰ kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
1 Petro 5 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁶ Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake;
⁷ huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.