Afya ya Akili Katika Familia Migogoro Midogo Inageuka Mauaji

Afya ya Akili Katika Familia Migogoro Midogo Inageuka Mauaji

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Familia moja huko Tongaren Constituency, Bungoma County iko kwa maombolezo baada ya kijana wa miaka 24 kudaiwa kuuawa na ndugu yake wa miaka 21 following a dispute over gumboots.

The deceased, Joshua Wafula Furaha, alichomwa kisu mara kadhaa kichwani, shingoni na kifuani, akapoteza damu nyingi. Mshukiwa, Davis Wanyonyi Furaha, amekamatwa na polisi kutoka Makunga Police Station. Mwili umehifadhiwa katika Naitiri Sub-County Hospital ukisubiri investigations.

Family wanasema Joshua alikuwa hardworking and alikuwa anasaidia sana nyumbani.

Lakini swali kubwa ni hili: How does a simple argument over gumboots turn into murder? Je, kuna underlying mental health issues kama anger management problems, stress, depression, ama substance abuse ambazo hatuzungumzii?

As a society, tunahitaji kunormalize conversations about mental health, conflict resolution, na seeking help mapema before situations escalate. Migogoro ya familia isipuuzwe — small triggers zinaweza kuwa sign ya deeper issues.

Source: Citizen digital
 
Back
Top Bottom