Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Afya ya akili ikikaa vibaya watu huchukua maamuzi ya hamaki , matukio ya kikatili kisa wivu wa mapenzi yamekuwa mengi .
Ukiona mpenzi , mume , mke afya yake ya akili haipo sawa take caution kabla hajakuwaisha mbinguni
Ukiona mpenzi , mume , mke afya yake ya akili haipo sawa take caution kabla hajakuwaisha mbinguni