Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Braza mtu kuuwa mke aliyemzalia watoto wawili maamuzi mazito hayo . Kama mtu unaona pasua sana si unamuacha tu kwa usalama wako usipate jinaiTutasingizia sana afya ya akili.wanawake wengi ni pasua kichwa
Matendo yote hayo kitaalam ni kichaaUnamkosea mtu tena. Pakubwa unazaa na rafiki yangu bado anataka kuuza kiwanja chako alichokkikuta ukiwa nacho halafu bado unazingizia afya ya akili
Sawa ila angewafikiria wale watoto wake , basi angemtwanga hata ya mguu tu mbona inatosha , hakuna lugha yeyote unayoweza kuitumia kutetea mauajiUnamkosea mtu tena. Pakubwa unazaa na rafiki yangu bado anataka kuuza kiwanja chako alichokkikuta ukiwa nacho halafu bado unazingizia afya ya akili