Afya ya Akili: Ni vitu gani unajifanyia kama ishara ya kujijali, kujithamini na kujipenda?

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Kujijali (Self-Care) kuna maana tofauti kwa kila Mtu, na wote tuna namna yetu ya kujijali ili kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress) na kulinda Afya ya Akili

Kwa wengine, kujionesha Upendo ni kwa kujinunulia kitu kipya, kusafiri au kutembelea sehemu mpya, kutenga muda wa kupumzika au kufanya mazoezi

Kujijali kunamaanisha nini kwako? Ni vitu gani unajifanyia kama ishara ya kujijali ili kulinda Afya yako ya Akili?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…