Afya Ya Akili sasa inatumika kufichaUshirikina, uovu, ubakaji, mauaji na unyofoaji wa viungo vya binadamu kishirikina

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,696
Reaction score
17,306
Hili sasa lifike Mwisho. Na Lazima tukumbuke kwamba tuko mwaka gani.

Sitaki amini eti, AFYA YA AKILI kwa matukio haya. Hapana

Dkt. Gwajima D njoo utuambie shida ni nini. Mauaji ya hovyo yamezidi. Ahsante.
 
Kila mwaka wa uchaguzi haya matukio huongezeka sana... Tatizo liko kwa wanasiasa
 
Kuna nini tena kinaendelea hapa hebu ufafanuzi wa kina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…