viungo vya binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu naweza kusema kipo ila kitakuwa kigumu ila kipo kuthibitisha kwa biashara viungo vya binadamu.

    Kuna nchi unatakiwa kuwa makini na kuanzia mazoea,msosi, vinywaji mpaka unapofikia na ili swala lipo. Ila tanzania bado tujaweza sasa kuhusu na maswala ya biashara ya viungo kama figo maana ndio bidhaa ambayo naogopa kuingiza mada hapa. Je wale ambao wamenusurika au kuomba uchunguzi wa...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Polisi: Taarifa ya mabaki ya viungo vya binadamu Mpiji Magoe ni ya zamani

  3. blogger

    JamiiForums Tanzania Afya Ya Akili sasa inatumika kufichaUshirikina, uovu, ubakaji, mauaji na unyofoaji wa viungo vya binadamu kishirikina

    Hili sasa lifike Mwisho. Na Lazima tukumbuke kwamba tuko mwaka gani. Sitaki amini eti, AFYA YA AKILI kwa matukio haya. Hapana Dkt. Gwajima D njoo utuambie shida ni nini. Mauaji ya hovyo yamezidi. Ahsante.
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mhudumu wa mochwri matatani kwa tuhuma za kuuza viungo vya binadamu

    Haya sasa wakuu hapo vp? nasoma maoni nini kifanyike ili kukomesha mambo kama haya maana huu ni ushirikina wa hali juu na umaskini Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kupatikana na viungo vinavyodhaniwa kuwa vya binadamu. Watuhumiwa hao ni Kelvin Piason...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Upoteaji wa Watu, Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania

    Wakuu Salaam Katika Swla la Upoteaji na utekaji wa Watu, Watu wa tiba Mbdala na Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania Tunaweza Walaumu Polisi, TISS, Machawa wa vyama vya siasa nk. Lakini tunawasahau hawa wataalam wetu wa afya. Pia kuna watu wanazikwa na...
  6. Elsa Marie

    JamiiForums Tanzania Viungo vya binadamu vinavyokatwa kwa sababu mbalimbali hupelekwa wapi?

    Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti. Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi. Ni mgonjwa anapewa kiungo chake...
  7. made

    JamiiForums Tanzania Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

    Idadi hiyo imeokotwa ktk mifuko ya viroba. Ni hali ya kusikitisha kwa kweli miongoni mwao wapo watoto. ======== POLISI mkoani Dar es Salaam wamekamata mafurushi ya mifuko yakiwa na viungo mbalimbali vya binadamu vilivyohifadhiwa katika mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto ya Bunju...
Back
Top Bottom