Mhudumu wa mochwri matatani kwa tuhuma za kuuza viungo vya binadamu

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Haya sasa wakuu

hapo vp? nasoma maoni nini kifanyike ili kukomesha mambo kama haya maana huu ni ushirikina wa hali juu na umaskini

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kupatikana na viungo vinavyodhaniwa kuwa vya binadamu.

Watuhumiwa hao ni Kelvin Piason Mdolo (42), mganga wa kienyeji kutoka Mbozi na Randani Seme Mlomo (64), mfanyakazi wa chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Vwawa, Songwe.

Taarifa ya awali inaeleza kuwa viungo hivyo vilikamatwa kufuatia msako maalum wa vyombo vya dola. Uchunguzi unaendelea ili kubaini undani wa tukio hili lililozua hofu na maswali mengi kuhusu usalama wa maiti na matumizi ya viungo vya binadamu.
 
Biashara ya mochwari zote hio duniani inaingiza mamilioni ya hela
 
Mwaka huu watapiga hela sana, pia ulinzi uongezwe kwa Albino.
 
India huko ndiyo balaa
Sema India inaruhusiwa
Kwa afrika ni Black Market
Sasa kijana mdg kapigwa mzinga
Bodaboda figo,viungo vya ndani watu wakiona viko fresh wanavingoa

Ova
Hata magaidi ndio biashara zao
 
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kupatikana na viungo vinavyodhaniwa kuwa vya binadamu.

Watuhumiwa hao ni Kelvin Piason Mdolo (42), mganga wa kienyeji kutoka Mbozi na Randani Seme Mlomo (64), mfanyakazi wa chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Vwawa, Songwe.
Songwe hadi Kagera
Hamna check points hapo katikati?
 
Haya sasa wakuu

hapo vp? nasoma maoni nini kifanyike ili kukomesha mambo kama haya maana huu ni ushirikina wa hali juu na umaskini

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kupatikana na viungo vinavyodhaniwa kuwa vya binadamu.

Watuhumiwa hao ni Kelvin Piason Mdolo (42), mganga wa kienyeji kutoka Mbozi na Randani Seme Mlomo (64), mfanyakazi wa chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Vwawa, Songwe.

Taarifa ya awali inaeleza kuwa viungo hivyo vilikamatwa kufuatia msako maalum wa vyombo vya dola. Uchunguzi unaendelea ili kubaini undani wa tukio hili lililozua hofu na maswali mengi kuhusu usalama wa maiti na matumizi ya viungo vya binadamu.
Hiyo ni biashara kongwe na haitakaa iishe na huchanganya sana vipindi vya uchaguzi
 
Haya sasa wakuu

hapo vp? nasoma maoni nini kifanyike ili kukomesha mambo kama haya maana huu ni ushirikina wa hali juu na umaskini

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kupatikana na viungo vinavyodhaniwa kuwa vya binadamu.

Watuhumiwa hao ni Kelvin Piason Mdolo (42), mganga wa kienyeji kutoka Mbozi na Randani Seme Mlomo (64), mfanyakazi wa chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Vwawa, Songwe.

Taarifa ya awali inaeleza kuwa viungo hivyo vilikamatwa kufuatia msako maalum wa vyombo vya dola. Uchunguzi unaendelea ili kubaini undani wa tukio hili lililozua hofu na maswali mengi kuhusu usalama wa maiti na matumizi ya viungo vya binadamu.
Usalama wa maiti 😀
 
Back
Top Bottom