Afya ya mama mzazi wa Diamond si shwari

Afya ya mama mzazi wa Diamond si shwari

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
afya ya mama mzazi wa msanii maarufu DIAMOND si shwari baada ya kubadilika ghafla na kukimbiza katika hospital ya TMJ. wakuu maombi yenu yanatakiwa sana.
 
Huyu mama sasa kweli anaumwa;
Mmmh,
MUNGU autunze uzima wake mama yake Diamond.
 
Tatizo n nini wadau?? Mungu amponye.
 
Mungu ampe uzima mama wa taifa
 
Tatizo n nini wadau?? Mungu amponye.

Ugonjwa ni siri ya mgonjwa na watu wanaomhusu...ugonjwa si kitu cha kutangaza adharani, ndio maana hata Daktari haruhusiwi kuongelea ugonjwa wa mteja wake adharani labda mpaka apewe ruhusa na mgonjwa mwenyewe. Sababu hata ukijua anaumwa nini humsaidii lolote!
 
You are right... ila sometimes pia Ugonjwa Unaweza Usijulikane kabisa Kwa Pande zote Vipimo vya Hospital vinaweza kuonyesha Haumwi ila ndo hivyo anazidiwa... kwahiyo huwezi Tangaza Nothing
 
kigazet kimoja kimeandika habari hii!kesho shangazi akianza kuharisha mtaleta habari hapa
 
Diamond ole wako umfanye mama yako kama walichomfanyia P square mama yao. Tunakuangalia tu hatusemi kitu ILA OLE WAKO

inawezekana ya bibi haikutosha,,binadamu wengine ni wa ajabu sana aisee
 
Ngoja nikukumbushe kuwa Haupo Facebook upo Jamiiforums Home of Great Thinkers

Facebook hata Layman na Wajinga wanayokwenye simu zao

Mweleweshe, maana watu wengine hawatofautishi wakati wa mzaha na wakati wa watu kuwa serious. That young man needs sympathy right now, prayers etc...
 
Ngoja nikukumbushe kuwa Haupo Facebook upo Jamiiforums Home of Great Thinkers

Facebook hata Layman na Wajinga wanayokwenye simu zao

Hebu muambie...inaamana ukiwa mzazi wa msanii hutakiwi kuumwa wala hufi.?? Cz ukifa ni dhambI
Akili zao fupi kutwa kupingana na uumbaji wa Mungu
Kuumwa kupo na kifo kimeumbwa
 
Back
Top Bottom