A ashrei brown Member Joined Dec 10, 2012 Posts 9 Reaction score 3 Apr 27, 2015 #1 Kuna mtu anapata black spots usoni vinakuwa na kusambaa usoni, huwa anasumbuliwa sana na mionz ya jua...ametumia mafuta mbalimbali hata wanayo tumia ma albino lakin hayajamsaidia...ushauri wa kitabibu please
Kuna mtu anapata black spots usoni vinakuwa na kusambaa usoni, huwa anasumbuliwa sana na mionz ya jua...ametumia mafuta mbalimbali hata wanayo tumia ma albino lakin hayajamsaidia...ushauri wa kitabibu please