Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa watu wote katika jamii

Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa watu wote katika jamii

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Afya ya umma ni namna ya kulinda usalama na kuboresha afya ya wanajamii kupitia elimu, utungaji sera na utafiti wa kuzuia magonjwa na majeraha

Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa watu wote katika jamii huku ikihakikisha usalama wa wanajamii na kuwalinda dhidi ya kuenea kwa magonjwa ya kuambukiza na hatari mbalimbali za kimazingira

Pia husaidia kuhakikisha upatikanaji wa huduma salama na bora za Afya kwa manufaa ya jamii nzima
 
Back
Top Bottom