Afya ya umma: Serikali iangalie ubora wa mablankenti yanayouzwa nchini. Mengi yanatengenezwa kwa material yanayoleta allergy(mzio)

Afya ya umma: Serikali iangalie ubora wa mablankenti yanayouzwa nchini. Mengi yanatengenezwa kwa material yanayoleta allergy(mzio)

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Kuna mablankenti ukilalia unajikuta unakohoa sana. Usipolilalia unakuwa sawa. Ni kama yana materials mabaya yenye kuleta allergy. Hatujui madhara mengine yanayoweza kuleta kwenye mfumo wa upumuaji wa binadamu. Serikali iangalie ubora wa mablanketi yanayoingia nchini na kupitia materials zinazotumika kuyatengeneza ili kuokoa afya za watu.
 
Back
Top Bottom