Mwelimishe kuwa hata kama majibu yatakuwa makubwa sio mwisho wa maisha, siku hizi kuna maendeleo makubwa kwenye tiba pia ni faida yake yeye wewe unajua utafanya nini hata majibu yako yakiwa mabaya.
Ninadhani ni rahisi kiingiza mwanzoni mwa mkataba wa ajira kuwa, kupima afya ni muhimu kwakuwa yeye ni mtoto wa watu hutaki aje akuangukie tu, pili muondolee hofu kuwa majibu yeyote yatakavyokuwa wewe utakuwa nyumba yake.Sky Éclat kumshawishi mtu aliyekuzoe wewe ni mwalimu maswala ya afya ni vigumu sana, mbaya zaidi hawa wasichana wetu ni wachache sana wanaoishi vizuri na mama mwenye nyumba wengi ni waoga sana na wanaishi tu ili kukidhi Aja zao, then leo wewe uje umshawishi kupimwa HIV !!
Ata ukianza kumshawishi apime magonjwa mengine utakapomgusia tu kupima HIV tayari atajua leo laki kubwa ni kumpima HIV wala siyo magonjwa mengine, yeye mwenyewe anaishi kwako kwa wasiwasi na kuomba siku zisogee atoke akaanze maisha Mapya from ni where wewe unataka kumpima UKIMWI!! Atajiuliza maswali mengi sana mwisho wa siku mpango utakwama mama.
Ninadhani ni rahisi kiingiza mwanzoni mwa mkataba wa ajira kuwa, kupima afya ni muhimu kwakuwa yeye ni mtoto wa watu hutaki aje akuangukie tu, pili muondolee hofu kuwa majibu yeyote yatakavyokuwa wewe utakuwa nyumba yake.
Kuna Hg mmoja aliwafanyia kitendo cha kinyama familia moja ya kisomaliNikifikia kutaka kuajiri mfanyakazi, kigezo namba moja kitakua kupima afya.... Hutaki sepa