Afya ya wafanyakazi wa ndani

Afya ya wafanyakazi wa ndani

Hizi ni kazi kama kazi nyingine jamani tuwe na utu dunia ni mapito.
Ni kweli kabisa mkuu, wangapi wanakwenda majuu kwa elimu ya juu na waajiriwa kuchambisha wazee, ni kazi na wananunua viwalo vya kuringia maofisini wakirudi.
 
Mwelimishe kuwa hata kama majibu yatakuwa makubwa sio mwisho wa maisha, siku hizi kuna maendeleo makubwa kwenye tiba pia ni faida yake yeye wewe unajua utafanya nini hata majibu yako yakiwa mabaya.

Sky Éclat kumshawishi mtu aliyekuzoe wewe ni mwalimu maswala ya afya ni vigumu sana, mbaya zaidi hawa wasichana wetu ni wachache sana wanaoishi vizuri na mama mwenye nyumba wengi ni waoga sana na wanaishi tu ili kukidhi Aja zao, then leo wewe uje umshawishi kupimwa HIV !!
Ata ukianza kumshawishi apime magonjwa mengine utakapomgusia tu kupima HIV tayari atajua leo laki kubwa ni kumpima HIV wala siyo magonjwa mengine, yeye mwenyewe anaishi kwako kwa wasiwasi na kuomba siku zisogee atoke akaanze maisha Mapya from ni where wewe unataka kumpima UKIMWI!! Atajiuliza maswali mengi sana mwisho wa siku mpango utakwama mama.
 
Ninadhani ni rahisi kiingiza mwanzoni mwa mkataba wa ajira kuwa, kupima afya ni muhimu kwakuwa yeye ni mtoto wa watu hutaki aje akuangukie tu, pili muondolee hofu kuwa majibu yeyote yatakavyokuwa wewe utakuwa nyumba yake.
 
Ndugu yangu hawa viumbe ni wa ajabu sana Kama wewe ulimpata mwelewa basi mshukru Mungu.
 
Nikifikia kutaka kuajiri mfanyakazi, kigezo namba moja kitakua kupima afya.... Hutaki sepa
 
Hii mada tamu sana.. Niliwahi kufanya. Baada ya kukosa imani naye ilibidi nitake advantage alipoumwa ugonjwa mwingine nikaongea na dr akampima nia HIV bila yeye kujua.. Shida iliyopo wasichana wa kazi ambao wapo commited siku za leo wachache sana. Unapompata kuna mda inabidi umnyenyekee kiasi fulani. Ukianza kumletea hizo habari inakuwa kama unamyanyapaa and then unaweza sababisha akasepa kabisa. Ni ngumu ila ni muhimu kea afya ya baba na watoto wako wa kiume wewe mama. Maana siku hizi hg ni chakula ya baba. So juwa makini.. Kuna hg mmoja alikuja mjini huku kashapewa akili na mama yake kwamba akifika ahakikishe anatembea na baba mwenye nyumba ndio mambo yake yatakenda vzr. Najua ni wengi wanapewa mafundisho ya namna hii. Wamama msipokuwa makini kupima afya na kichunga waume zenu hakika IMEKULA KWENYE FAMILIA ZENE
 
Nikifikia kutaka kuajiri mfanyakazi, kigezo namba moja kitakua kupima afya.... Hutaki sepa
Kuna Hg mmoja aliwafanyia kitendo cha kinyama familia moja ya kisomali

Aliwatupia virusi ,familia nzima vitoto mpaka wazazi waliungua

Yule dada alihumukumiwa 20+ jela ,miaka ya nyuma
 
Ilikuwa nchi gani mkuu?
 
Back
Top Bottom