Afya yangu yazidi kunichanganya

Afya yangu yazidi kunichanganya

jaribu kuangalia vitu hivi hasa maeneo unayotumia muda zaidi mfano chumbani,...aina ya mashuka au blanket unalojifunika, vumbi chumbani, ukubwa wa madirisha, net unayoitumia, kama ni kazini je kuna moshi wa vyombo kama pikipiki nk muda wote, pafyumu au manukato unayotumia...ukikosa jibu njoo pm

Inaweza kuwa sababu kabisa, nishateseka na ujinga kama huu kwa miaka, nikagundua ni blanket tu
 
Umeshajalibu kujiponya wewe mwenyewe.au kuamuru tatizo liondoke! Nilini! Wapi! Nailikuaje bahada yahapo??
 
Pole saana Mungu akufanyie wepesi upate ufumbuzi wa tatizo lako mkuu
 
Wana JF habali za wakati huu natumaini nyote ni wazima wa afya, na wale ambao hamjisikii poa Mungu atawasaidia. Miim ni mzima wa afya japo sio sana, namshukuru Mungi hivyo hivyo.

Nimekuwa nikisumbuliwa na kikohozi cha miaka nenda rudi hakiponi. Nakohoa muda wote, mchana na usiku ila hasa usiku. Nakohoa sana hasa nikipata njaa kikohozi kinaambatana na makohozi mazito na muda wote napata maumivu ya tumbo na kikohozi mfululizo nihisipo njaa.

Nakohoa sana hasa ninapokula vyakula vyenye protini na fati kama vile;
  • Nyama
  • Samaki
  • Kalanga
  • Maharagwe
  • Dagaa, nk

Na vyakula vinavyopikiwa mafuta mengi kama vile;

  • Chapati
  • Mandazi, nk

Kiufupi vyakula vyote vyenye mafuta ndani yake vinanipa tabu, nimefikia wakati nimeacha kabisa kuvitumia lakini nimekonda sana hata kama nikitumia hivyo vyakula, so kwamba afya inakua njema, hapana nabaki nimekonda vile vile.

Nishapima;
  • X-ray zaid ya mala 4 lakini negative
  • Makohozi yakuotesha negative
  • HIV - negative
  • Limonea - negative pamoja na magonjwa mengine

Nilishawahi kunywa dawa nyingi sana za kisasa na za kienyeji lakini sijafanikiwa kupata kupona, nishakunywa tangawizi sana lakini bado, nishakula sana matunda, mbogamboga za kutosha nikidhani labda nitapata unafuu lakini 0, nishakunywa sana asali tena ile mbichi kabisa asubuhi, mchana na jioni kabla ya kula lakini 0, nakunywa maji mengi sana lakini 0!

Sijawah kuvuta sigara, sijawah kutumia kilevi cha aina yoyote toka nizaliwe. Yaan jamani sijui nisemeje tu. vitu vingi sana nishavifanya ili kuepukana na kikohozi hiki sugu lakini sijafanikiwa.

Jaman naomben ushauri, kikohozi gani hiki kisichosikia dawa? Kinanitesa sana siko huru. [emoji33]
Pole sana kwa changamoto hiyo mkuu. Tusubiri wataalamu waje kukusaidia.
 
Kakate kilimi boss kitakuwa kimerefuka sana. Kilimi huchochea kikohozi kisichoisha hasa ukila vyakula vya mafuta.

Nb: Fanya check up kwanza hospital kama kilimi Kiko sawa au lah!
 
jaribu kuangalia vitu hivi hasa maeneo unayotumia muda zaidi mfano chumbani,...aina ya mashuka au blanket unalojifunika, vumbi chumbani, ukubwa wa madirisha, net unayoitumia, kama ni kazini je kuna moshi wa vyombo kama pikipiki nk muda wote, pafyumu au manukato unayotumia...ukikosa jibu njoo pm
Sehem ninayolala nisaf mashuka saf madirisha mapana hewa ni yakuotesha mosh hakuna natumia nishat ya ges kwenye mambo ya kupika, nalala masada yasiopungu 6
Mazoez nafanya
Kazin hakuna vumbi kusema labuda hewa chaf
Yan nikijalibu kuangalia mtindo wangu wa maisha uko sawa kabisa
 
Wana JF habali za wakati huu natumaini nyote ni wazima wa afya, na wale ambao hamjisikii poa Mungu atawasaidia. Miim ni mzima wa afya japo sio sana, namshukuru Mungi hivyo hivyo.

Nimekuwa nikisumbuliwa na kikohozi cha miaka nenda rudi hakiponi. Nakohoa muda wote, mchana na usiku ila hasa usiku. Nakohoa sana hasa nikipata njaa kikohozi kinaambatana na makohozi mazito na muda wote napata maumivu ya tumbo na kikohozi mfululizo nihisipo njaa.

Nakohoa sana hasa ninapokula vyakula vyenye protini na fati kama vile;
  • Nyama
  • Samaki
  • Kalanga
  • Maharagwe
  • Dagaa, nk

Na vyakula vinavyopikiwa mafuta mengi kama vile;

  • Chapati
  • Mandazi, nk

Kiufupi vyakula vyote vyenye mafuta ndani yake vinanipa tabu, nimefikia wakati nimeacha kabisa kuvitumia lakini nimekonda sana hata kama nikitumia hivyo vyakula, so kwamba afya inakua njema, hapana nabaki nimekonda vile vile.

Nishapima;
  • X-ray zaid ya mala 4 lakini negative
  • Makohozi yakuotesha negative
  • HIV - negative
  • Limonea - negative pamoja na magonjwa mengine

Nilishawahi kunywa dawa nyingi sana za kisasa na za kienyeji lakini sijafanikiwa kupata kupona, nishakunywa tangawizi sana lakini bado, nishakula sana matunda, mbogamboga za kutosha nikidhani labda nitapata unafuu lakini 0, nishakunywa sana asali tena ile mbichi kabisa asubuhi, mchana na jioni kabla ya kula lakini 0, nakunywa maji mengi sana lakini 0!

Sijawah kuvuta sigara, sijawah kutumia kilevi cha aina yoyote toka nizaliwe. Yaan jamani sijui nisemeje tu. vitu vingi sana nishavifanya ili kuepukana na kikohozi hiki sugu lakini sijafanikiwa.

Jaman naomben ushauri, kikohozi gani hiki kisichosikia dawa? Kinanitesa sana siko huru. [emoji33]
Kimbilia kwa Yesu Mpendwa, kwake hakuna lisilowezekana... Ukizidi kushangaa tutakuzika!!
 
Pole sana. Umeanza kuugua tangu lini?
Umetibiwa hospital gani?
Ulifanya Xray ya sehemu gani kwenye mwili?
Imeisha miaka kumi sasa niko nahili tatizo

Nimefanyiwa xrey za kifuan katika hospital za serikal na binaf
 
Jaribu pia kutumia dawa za minyoo kwani kuna minyoo inayojikita kwenye koo na huonekana yenye umbo dogo la mviringo, hii iliwahi kunisumbua mpaka nilipoamua kutumia dawa za minyoo.
Lakini sasa minyoo ndo inanifanya nikohoe nakutoa makohoz mazito??
 
Usichukuwe ushauri namba 1, 2 na 4 wa huyu member. Nakushauri uende hospital nzuri uonane na dr bingwa ufanye diagnosis zaidi. Usinywe madawa bila kujuwa tatizo linasababishwa na nini. Umeshafanya scan ya kipimo kama MRA?
MRA bado
 
Kujifanya kujua kila kitu na kukariri nadharia za kisayansi pekee ukidhani ndiyo kila kitu ni ujinga pia.

Hapa inshu siyo kukariri vitu ulivyokaririshwa darasani tu bali nikutumia ujuzi na uzoefu wako binafsi kubashiri tatizo la mgonjwa nakumshahuri tiba yenye uhakika na siyo bla bla bla! za kitaalamu pekee ambazo wengine zimetupotezea ndugu zetu wengi na gharama.

Hoja za kisayansi na tiba upingwa kisayansi, ebu leta hoja zako hizo imara zinazothibitisha nilichoshauri hakifai, maana huwezi toka tu huko nakuandika namba hii na namba ile usifanyie kazi kana kwamba mie niliyetumia muda wangu kufikiri na kuandika tafiti zangu ni punguani.
 
Huyu jamaa tatizo lake laweza kuwa dogo.
Awaone specialists wa ENT
kupima sio hoja je umepima nini na umepimwa na nani?

Nchi hii ina watu wa ajabu sana, huwa wanajua daktari yeyote anaweza kutibu kila kitu.

Kama ataitikia hili naweza kumwelekeza kwa specialist aliyesaidia mtu kama yeye.
Nielekeze mkuu
 
Back
Top Bottom