Afya yangu yazidi kunichanganya


Inaweza kuwa sababu kabisa, nishateseka na ujinga kama huu kwa miaka, nikagundua ni blanket tu
 
Umeshajalibu kujiponya wewe mwenyewe.au kuamuru tatizo liondoke! Nilini! Wapi! Nailikuaje bahada yahapo??
 
Pole saana Mungu akufanyie wepesi upate ufumbuzi wa tatizo lako mkuu
 
Pole sana kwa changamoto hiyo mkuu. Tusubiri wataalamu waje kukusaidia.
 
Kakate kilimi boss kitakuwa kimerefuka sana. Kilimi huchochea kikohozi kisichoisha hasa ukila vyakula vya mafuta.

Nb: Fanya check up kwanza hospital kama kilimi Kiko sawa au lah!
 
Sehem ninayolala nisaf mashuka saf madirisha mapana hewa ni yakuotesha mosh hakuna natumia nishat ya ges kwenye mambo ya kupika, nalala masada yasiopungu 6
Mazoez nafanya
Kazin hakuna vumbi kusema labuda hewa chaf
Yan nikijalibu kuangalia mtindo wangu wa maisha uko sawa kabisa
 
Kimbilia kwa Yesu Mpendwa, kwake hakuna lisilowezekana... Ukizidi kushangaa tutakuzika!!
 
Pole sana. Umeanza kuugua tangu lini?
Umetibiwa hospital gani?
Ulifanya Xray ya sehemu gani kwenye mwili?
Imeisha miaka kumi sasa niko nahili tatizo

Nimefanyiwa xrey za kifuan katika hospital za serikal na binaf
 
Jaribu pia kutumia dawa za minyoo kwani kuna minyoo inayojikita kwenye koo na huonekana yenye umbo dogo la mviringo, hii iliwahi kunisumbua mpaka nilipoamua kutumia dawa za minyoo.
Lakini sasa minyoo ndo inanifanya nikohoe nakutoa makohoz mazito??
 
Usichukuwe ushauri namba 1, 2 na 4 wa huyu member. Nakushauri uende hospital nzuri uonane na dr bingwa ufanye diagnosis zaidi. Usinywe madawa bila kujuwa tatizo linasababishwa na nini. Umeshafanya scan ya kipimo kama MRA?
MRA bado
 
Usichukuwe ushauri namba 1, 2 na 4 wa huyu member. Nakushauri uende hospital nzuri uonane na dr bingwa ufanye diagnosis zaidi. Usinywe madawa bila kujuwa tatizo linasababishwa na nini. Umeshafanya scan ya kipimo kama MRA?
Kujifanya kujua kila kitu na kukariri nadharia za kisayansi pekee ukidhani ndiyo kila kitu ni ujinga pia.

Hapa inshu siyo kukariri vitu ulivyokaririshwa darasani tu bali nikutumia ujuzi na uzoefu wako binafsi kubashiri tatizo la mgonjwa nakumshahuri tiba yenye uhakika na siyo bla bla bla! za kitaalamu pekee ambazo wengine zimetupotezea ndugu zetu wengi na gharama.

Hoja za kisayansi na tiba upingwa kisayansi, ebu leta hoja zako hizo imara zinazothibitisha nilichoshauri hakifai, maana huwezi toka tu huko nakuandika namba hii na namba ile usifanyie kazi kana kwamba mie niliyetumia muda wangu kufikiri na kuandika tafiti zangu ni punguani.
 
Nielekeze mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…