Afya yangu yazidi kunichanganya

[emoji23]hujawai kuumwa au kuuguliwa [emoji124][emoji124]hivyo kwako ni vyema kabisa kuendelea kukazia.Siku ile utajua kuwa sayansi iliyopo duniani hapa kuna wakati haiwezi ponyesha hata kidonda achilia mbali kilimi siku hiyo ndipo akili zitakaa sawa ukiona una rest in peace[emoji120]
 
Nlikuwa na aleji kama Yako mkuu,na mm mbali na mafuta,vumbi na moshi nakohoa balaa,wakanishauri nikate kilimi nikagoma,nkaona wht the hell nkaanza vuta Sigara Kali,wiki mbili nlikohoa balaa ila mpaka Leo kukohoa Napaskia
 
issue ya kukonda inaweza kuchangiwa Sana na mawazo ,Kwa muda ambao umeanza kugundua kuwa una tatizo ambalo sio la kawaida in ur body function .


Wakati wataalamu wakikupa ushauri mbalimbali Ebu Fanya self-healing Kwa Ku-declare kwamba umepona hapa utaruhusu nguvu ya mwili kuanza kupokea mabadiliko ya kupona kutokana na -dawa au matibabu ambayo yatakuwa recommended.

Get well soon
 
Msaada na mm jamani wanajamvi ndugu yangu anasota na ugonjwa wa kukaukiw ute unaopelekea maumivu kwa joint na kuvimba..mwanzo ilikuwa mguuni akatumia dawa za hospital na kienyeji kujaribu hivo hivo akapona,ss issue imehamia mikononi ss ,tushatumia madawa ya hospital, za kikorea kienyeji tiba mbadala nyama kaacha sindano kachomwa anapata nafuu na kupona wiki 2 issue inarudi pale pale bado ugonjwa unasumbua .. hospital wanasema uric acid nyingi. Lkn ashaacha vykula vinavyoongeza uric ..jamani kwa yyte aliyewahi kutana na changamoto kama hiyo alihandle vipi issue kama hiyo alitumia dawa gani?msaada tafadhalini wanajamvi maana naona ilipelekea kupata magonjwa mengine kama pressure na sugar kwa kutumia madawa ya kutuliza maumivu kwa mda mrefu..
 
Nielekeze mkuu
Dr. Onesmo, Kitengule Hospital, iko Tegeta Kibaoni.

Huyu ni mtaalam wa ENT.
0655969303

Unaweza kumpigia, mpe maelezo then atakushsuri eidha uende au akuelrkeze sehemu sahihi, huyu jamaa ni wa msaada sana.
Tatizo ana foleni ya watu wengi mnoo
 
Pia jaribu kula vitunguu swaumu punje tatu asubhi mchana na jioni zile za kienyeji kama ni aleji utapona mda mfupi.
 
Nenda Ekenywa pale ndo aanaspecialiat wataangalia hadi ndani ya kifua
 
Imeisha miaka kumi sasa niko nahili tatizo

Nimefanyiwa xrey za kifuan katika hospital za serikal na binaf
Badilisha hospita na uonane na specialist. Mara nyingine unaweza kupitia hospital na kwa madakta wengi kabla tatizo halijagundulika.
 
Pole sana sana
Kuna wakati mwingine tunashuku na kudhani labda ni chakula au karanga unakuwa navyo na allergies ila unaweza kukuta sivyo kabisa
Labda ni sabuni ya Unga unayotumia kwa kufulia nguo zako
Au inaweza kuwa godoro unalolalia pia
Hebu usitumie sabuni ya Unga badala yake tumia ya kawaida, na kama una bedding zote badili anza na zingine
Labda ungeanza na hizo za kitanda labda mchawi ni sabuni
 
kakate kilimi mkuu utapona
 
VITU vya kuchunguza kabla ya tiba ni kaulimi.iwapo kaulimi ni karefu hata utumie dawa vipi ni ngumu lazima uende hospital na ukate.
- mbili chunguza minyoo nayo huwa inazingua
-tatu chunguza kifua.nenda hospital kubwa usiogepe gharama
Mwisho kukaa na ugonjwa muda mrefu ni vyanzo vya magonjwa mengine
 
Ebu nenda kawe kwa Mwamposa, halafu uje utoe ushuhuda. Kwa kuwa ni bure hakuna hasara.
 
Nlikuwa na aleji kama Yako mkuu,na mm mbali na mafuta,vumbi na moshi nakohoa balaa,wakanishauri nikate kilimi nikagoma,nkaona wht the hell nkaanza vuta Sigara Kali,wiki mbili nlikohoa balaa ila mpaka Leo kukohoa Napaskia
Ko na nam nijalibu kuvuta !! ?
 
Dr. Onesmo, Kitengule Hospital, iko Tegeta Kibaoni.

Huyu ni mtaalam wa ENT.
0655969303

Unaweza kumpigia, mpe maelezo then atakushsuri eidha uende au akuelrkeze sehemu sahihi, huyu jamaa ni wa msaada sana.
Tatizo ana foleni ya watu wengi mnoo
Nashukuru sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…