Afyeka nyeti zake, kisa MADEMU!

Afyeka nyeti zake, kisa MADEMU!

Ataikumbuka dushelele, halafu hana, pole yake kwa ujinga, kwani angewakataa hao madem wangemfanya nini? very stupid.
 
Mimi naona alichofanya ni sawa kabisa maana maandiko matakatifu yanasema kama kiungo chako kimekukosesha basi kikate na ukitupe majini.
wengine tungebaki viwiliwili tuu bila kiungo chochote!!
 
huyu nae, kwani walimwambia wanagombea dudu?!! au dudu lake lilikuwa la dhahabu??!!...kazi kwisheni, jingaaa
 
hivi inawezekana kweli unakata dushelele alafu unapona? au amejitahili.
 
hv inawezekana kweli kufyeka dushelele alafu ukabaki hai? atakua kajitahili huyo..
 
Back
Top Bottom