KERO Aga Khan Dodoma wana huduma mbovu, Madaktari hawaonekani

KERO Aga Khan Dodoma wana huduma mbovu, Madaktari hawaonekani

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Uongozi wa Aga Khan Dodoma, angalieni huduma mnazozitoa. Watu wanapangiwa madaktari, ila hawako ofisini, wagonjwa mpaka walalamike ndio muwape Daktari mwingine.

Hapo ni baada ya kukaa muda mrefu. Mtu anafika saa tatu asubuhi mpaka saa moja hajapata huduma. Yani huduma hazieleweki.

Mjirekebishe.
 
Back
Top Bottom